@talented_74:

talented_74
talented_74
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 15:49:16 GMT
48779
1216
385
368

Music

Download

Comments

mamiiexotica
Mamiii :
Ohh like an Oyster card or travel card just like the UK. It’s a good idea.
2026-07-24 08:20:15
0
abraham.ally46
Abraham ally :
Ina expire mda gn
2026-07-24 05:32:21
0
officialmillah05
.Challah millah🌹❤️ :
.na mie mtanisikia redi0n iv0 iv0😂😂😂😂😂😂
2026-07-23 22:05:47
40
mrs.hafidh3
Habiba Sabour :
izo kad tunazipataj
2026-07-24 12:36:27
0
overthinker_curious
from the future :
yani nauli wamepandisha bei kwa ajili ya mabasi yao,aku yanipite,napenda daladala zetu
2026-07-24 05:43:22
14
issayurry3
Issa yurry3 :
kwahiyo hapo nafuu ya kuwasaidia wananchi kuhusu nauli iko wapi naona ni bei yake ni sawa na hizo dalada za watu binafsi
2026-07-23 18:14:44
12
dyda009
Dyda :
Si lazma
2026-07-24 05:17:43
0
hbwakirenoog0
Yuzo nado 7⚽️ :
Sio lzm lkn kupanda
2026-07-23 16:47:18
26
princess4im
Princess 🦋🍫 :
s lazm wee😅tushazoea hekhek zet bhna nyieee msituchosh🤣
2026-07-23 17:51:43
7
abdallamakala
abdallamakala :
huu ni wizi sasa kama nashuka njiani nalipa nauli ya mjini ndo nn sasa
2026-07-24 01:51:10
7
chubalso
chubalso_.x66 :
sio lazima tupanda gari za kawaida tutawapa riski kaka zetu wenye coaster
2026-07-23 21:08:28
8
ramso_.tz
Ramso :
Utapanda ww hatuna mda ss
2026-07-23 22:59:04
3
hamadi_zanzibar1
hamadi_zanzibar1 :
Yanini mie😂
2026-07-23 23:59:52
2
buthaynah40
Buthaynah :
Sasa kuna tofaut gani ya bei baina ya bei ya chai maharagwe na ilo basi?? Mm nilijua kwa vile ya umeme bei itakua 300 serikali bwana haiwez kufanya kitu rahisi kwa wananchi wake dah
2026-07-23 19:08:58
2
xouh07
🦋XOUH🦋 :
m.ntk mp w0
2026-07-24 05:45:56
0
asma.haji3
Asmaboutique :
sema kad tunapata wapi
2026-07-23 18:59:10
0
hermecsirumu
@Sirumuhermec :
kujisajili ni bure au pesa n km peesa n kias gan
2026-07-24 05:39:20
0
said_loffey1
said_loffey1 :
😂😂😂😂walaaaa sina hamu nayooo 😂😂😂😂😂
2026-07-23 21:37:19
0
yajham3
♥️Yajham ♥️ :
iyo kad nd nauli ? nauliz t 😂
2026-07-23 21:35:14
0
user8228421800559
~~FALCON~©®~ :
natafuta usafiri wangu bana mwera si mbali
2026-07-24 04:29:22
1
user3808787721vikram
vikram :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na ma bus pia yatatuskia t
2026-07-24 04:51:56
0
tiktok.comjiyla
jiyla🌹 :
na mie mutanion t kweny pich 😅
2026-07-24 05:51:10
0
pozheart
Pozheart :
Sasà tuambieni izoo kad zinapatikana wapi
2026-07-23 18:56:31
0
mrsmarzouk
stuamohd :
kadi kiasi gani
2026-07-23 16:08:48
0
To see more videos from user @talented_74, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About