@festongadaya: Matokeo ya negative kwenye kipimo hiki cha haraka cha virusi vya ukimwi hayamaanishi kwa asilimia 100 kwamba huna HIV Sikiliza nikifafanua kwenye video hii. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #swahilitiktok #tanzania #tanzania🇹🇿

Festo Ngadaya
Festo Ngadaya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 16:01:28 GMT
213108
6840
589
528

Music

Download

Comments

paulreuben6
Paul :
mungu anatuepusha
2026-07-25 18:11:12
0
veeh4realy
Veeh4realy :
Huyu nikiendelea kumsikiliza atanichanganya 😂😂😂ngoja ni sikroohhhh😳
2026-07-24 07:59:23
248
resprocity
resprocity :
Hoax story🥹
2026-07-26 14:02:14
0
mwadunje6
mwadunje 🇦🇪 🇹🇿 :
we call it window period
2026-07-26 04:41:24
0
saheel01saheel01znz
KHAMONA 1 :
sasa si umeshasema vimejificha so tuachane navyo tu
2026-07-24 09:42:08
67
user4450388848559
William :
huwezi elezea kitu vizuri hivyo kama huna VVU
2026-07-24 13:54:37
75
mauya14
Mauya :
U=U udetected = untransmittable
2026-07-25 08:41:46
1
frankmashini
phinnah's hubby :
TND... U/u can not transmit HIV sexually
2026-07-25 06:08:17
0
ghati.peter4
Ghati Peter :
eeeeeee kazi ipo
2026-07-25 17:47:18
0
officiallizzie19
lizzy babe😘😍🥰 :
utajijua mwenyew me ninacho kijua no reaction no transformation
2026-07-24 15:12:11
8
ezekielluoga
luoga l.l :
kama vimejificha tuachane navyo tu
2026-07-24 07:21:50
18
faridulutu1
Faridulutu :
virus havina mawazo hayo
2026-07-24 12:52:38
21
mr.africa029
Mr Africa :
We nae ni Doctor😎 hii nchi uhuru unezidi sana
2026-07-24 04:57:07
28
victoriacharles552
Jojo :
this week mbn natishiwa. na mada za ukimwi
2026-07-25 10:36:17
11
mhindi12
Mweusi :
embu tuacheni mnatuchanganya
2026-07-23 16:35:58
43
user6803835679031
sarah@mwashibanda :
Hiz videa zinanifatilia sana sijuh kwann ndug zangu
2026-07-25 13:04:34
10
anastaziapaulo1
anastazia sayi17 :
Dr Kwan kipimo Cha Ukimwi halisi ni kipi??
2026-07-25 07:01:11
5
elenodanny
Eleno paul :
kuna watu hapa wanakomenti kwa hasira vp wenetu huko 😂😂😂😂😂
2026-07-24 05:55:35
5
sabaya743
sabaya :
Kama havioneshi si haeezi kuambukiza ?!
2026-07-23 16:14:52
23
muhsin.muhunzi
MUHSIN Muhunzi :
Doctor kutoka Bakwata
2026-07-24 06:31:55
8
edithamwandemange
Editha Mwandemange :
jamani ila binadam mbona mnatuuwa kabla virus vyenyewe havijatuuwa?
2026-07-24 09:00:10
5
sabaya743
sabaya :
Vipi kuhusu undetected = untransmittable?
2026-07-23 16:14:22
8
kingfalcon1
KiING 👑 KAPANDE :
kaka tuambie tufanyaje ... hayo maelezo mazur ila tifanye nn????
2026-07-23 19:05:27
5
mzanakiboy
Mr Eddie boy :
acha uwongo
2026-07-23 18:17:35
7
To see more videos from user @festongadaya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About