@simulizi_nono_africa: NASUBILI COMMENT ZENU 🤠🙌🌊 Je, ni fukwe ipi unaipenda zaidi jijini Dar es Salaam? 🤔 Ikiwa unafikiri kuna fukwe nzuri ambayo haipo kwenye list hii, tuambie kwenye comments! 👇 😁 #DarEsSalaam #Fukwe #Utalii #Kigamboni #Kunduchi

SIMULIZI NONO AFRICA
SIMULIZI NONO AFRICA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 16:28:02 GMT
135948
2071
275
204

Music

Download

Comments

swalez_brand
swalez brand :
silver sand haipo na kawe beach
2026-08-18 21:08:29
1
chiijunior77
King🤴Reshaad🫅 :
white sands beach resort😅😍
2026-08-19 18:45:45
1
dizzomaker_facts
Dizzo Maker collection ⛎ :
Wale wa beach tulivu ni Islamic beach
2026-08-12 09:38:56
19
ramgbrandtz11
RamG brand tz :
wakigamboni tujuane
2026-08-16 08:55:45
5
cataleya0876
cataleya08 :
mikadi hii nayoijua mimi ama?😳
2026-07-30 13:13:44
21
officialrajiih
Kajala mtoto 🦋🌝 :
Ebu toa mikadi weka sunrise beach
2026-08-03 11:50:56
13
user6914478814057
January 160 :
mbn janwan aipo
2026-08-18 19:42:25
1
pachess.dell.cruzz
Pachess_Collection_(P.O.C) :
How About sunrise🌅✨ Beach Resort kigamboni???
2026-08-12 13:26:03
1
samjr026
samjr026. Salehe :
coco beach Kuna miba sana mamaee😂😂
2026-07-26 05:29:28
9
kellin_hm
𝐊𝐄𝐋𝐋𝐈𝐍🌍 :
Sijaona pweza beach mwanetu
2026-08-12 14:51:05
1
lilian_adolf
Lilian Flour🌾 :
Umesahau Thaikan Kigamboni
2026-07-25 12:47:48
6
nacy.j4
nacy j4 :
Hivi we Ununio unaichukuliaje hadi umeiweka namba 10
2026-08-06 07:54:21
7
gypsean.cypriano
George Kimath :
Kawe beach ⛱️siioni
2026-08-12 10:04:36
1
abuu.mfinanga.45
abuu mfinanga 45 :
wanangu wa ununio mambo nigani
2026-07-30 09:34:09
7
official.madam5
official madam :
Cocobeach ipi jamn au zipo mbili
2026-08-05 17:18:51
1
officalpatrick2
🌴PATRICK 🌴 :
WAKAZI WA KIGAMBONI TUNAENJOY SANA😂😂🥰
2026-08-08 11:02:50
2
aishery.ally
Aishery ally :
mikado saivi inaitwa pweza beach
2026-08-12 14:37:07
1
benjaminflavian95
Beny :
mikadi haipo sahv je umefika kijj beach?
2026-08-03 09:51:43
2
swalez_brand
swalez brand :
white sand ipo mbezi africana sio Kunduchi
2026-08-18 21:06:58
1
jacklinealoyce677
jshayo🥰 :
rongoni beach
2026-08-03 11:54:45
2
antony.emanuely
Tonny The Boy2🧒🧒 :
ety niko manzese nataka niende coco beach naendaje
2026-07-26 18:20:17
1
mouzunguh
MOUZUNGUH 💥 :
ununio tujuane apoh
2026-08-04 17:39:35
1
h.s.m348
☠️ :
Kawe beach 🏖️vp
2026-08-05 07:49:37
1
exavelynyoni
Exavely Nyoni :
acheni kufananisha muda na vitu vya ajabu!
2026-07-29 10:09:33
1
To see more videos from user @simulizi_nono_africa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About