@iamyah8:

call me Yah
call me Yah
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 16:39:47 GMT
234870
6593
119
1256

Music

Download

Comments

beatrice.bahati70
Beatrice Bahati :
sio shida zangu watajua wenyewe
2026-07-24 06:59:46
14
ayeezy02
Ayeezzy bae :
ngoja niipost halaf nizime cm🤣🤣🤣
2026-09-07 04:17:05
0
christinamalima57
Magretynah :
na siwezi ekelea maigizo me nimechoka 😂😂
2026-07-28 17:25:45
4
irene.kabisae
Irene Kabisae :
Wanamuaminia nan😅😂
2026-08-15 09:11:13
1
franklaw86
FrankLaw( official) :
Mamaee watajua wenyewe mm wanayeniaminia nimechoka🤣
2026-07-28 08:24:13
2
omar.rama60
Omar Bubaloo :
mm nishachoka 🥺🥺
2026-07-30 11:56:54
0
user6819974444094
violeth vio🥰💋 :
😃tunakutegemea jembe letu
2026-07-24 11:22:03
0
rechokamama
Recho jebii🇲🇴🇰🇪 :
nakufa mm 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 19:41:25
0
khadijanasoro42
khadijanasoro :
Niko hoiii🤣🤣😂😂
2026-07-31 21:33:32
0
single.lady147
single lady :
watu hawataki tena😂😂😂😂😂
2026-07-26 11:43:01
0
mamuucollection198
chimammy :
nimechoka nisiseme😅😅
2026-07-27 06:38:06
3
brady6116
Brady⭐ :
watajua wenyew
2026-07-27 17:55:38
2
user9608249388022
loyceeee :
lkn twende tu na ukweli miaka yote nyumbn wamekuwa maskini mm ni nani ndo nijekuondoa uo umaskin , nimechoka bhana😢
2026-08-18 09:48:41
0
bintimashishanga
pretty money🥰🥰 :
anaye jua kutengeneza stecker anitengeneezee ya king'amuz
2026-08-07 14:34:52
0
user4012514657066
kelvin_j Fredy :
kama kuna kuchoka basi nitakuwa wa mwisho
2026-08-19 16:34:01
3
user7374517810796
Esther Ulikaye :
Wamuaminie Mungu me siwezi haki😂
2026-07-25 10:49:38
6
tedyi.kajara
Tedyi Kajara :
Uyu mimi kabisa
2026-08-02 18:58:05
1
salamapretty2
Salamapretty :
😂
2026-07-28 16:58:02
0
jo4166988396578
jo :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecho nimechoka nimechok
2026-07-26 17:27:15
0
nyambura.siwa
nyambura siwa :
😂😂😂😂😂mtu mmoja ndio nategemewa kuondoa umasikini wa nyumbani nimechoka bhana mjini pana wenyewe
2026-08-11 07:22:04
1
wanzita.wilfred
Wanzita Wilfred :
yaan nichoke kwa ajili yao kila mtu apambane na hali yake😄😄😄
2026-07-26 14:33:20
2
hadija9861
BINT. SEIF 🙏 :
nimecheka hapa nipo kazini huku naumwa alafu nimechokaaa alafu nimetumiwa sms mama anataka hela ya gunia la mkaa
2026-08-07 14:57:20
1
minahjoyrise
Minah JoyRise ✨Chosen joy aft :
sio shida zangu watajua wenyewe
2026-07-27 17:47:45
0
user79454482
sandie :
wanikome🤣🤣🤣
2026-07-24 06:17:18
0
To see more videos from user @iamyah8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About