@sailortz2311: #zanfastferries #azammarinefastfer

sailortz2311
sailortz2311
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 16:39:56 GMT
44459
2149
63
29

Music

Download

Comments

realsavio22
hitison :
Leo ni civil war
2026-07-24 16:03:45
0
shadowx872
Shadow x :
Zan fast ferrie Vs Zan fast ferrie Vs Kilimanjaro fast ferrie,Sio poa hii ni mbonge la batel
2026-07-23 17:55:17
16
_chirilohimself
Adeyyum✈️🎧 :
iyo inaitwa mtafute mtafutee😂
2026-07-24 00:12:55
11
luckylady245
luckylady :
kwaiyo meli 3 mnafukuzana sio 😂😂😂
2026-07-24 04:23:47
6
henam68
Henam :
ikikua lini io boat tatu kwa pamja
2026-07-24 08:23:47
1
user2997424412323
Mr Kid :
dah munapitwa na kilmanjaro
2026-07-23 16:50:46
2
user80841734
yunu brand :
wana mpiga pati
2026-07-24 05:45:22
1
hasina.omar8
Athas0824 :
kwnn wanashindana na roho za w2
2026-07-23 22:10:16
2
fantastickid.2ankali
ankal yusso :
ilikuaj mpak dragon of the sea akakaa mbel
2026-07-24 10:10:06
0
user9193881912316
Suleiman73 :
unajuwa mm sijafahamu mpaka sasa hapo na ilikuwa kunanini hio siku ata zikatoka boti tatu Kwa wakati mmoja naomba uniyambie
2026-07-24 05:29:26
1
kipanyakhamis425
Kipanya Khamis :
😂😂nmeona gari ya uroa moja na mbili za chwaka zinafukuzana apo😂😂😂
2026-07-24 09:51:51
2
jokerdeore24
JOKER 🃏 :
yaani overtake hapo hazitaji ufund wala kuomba ni speed yako tyu🤣
2026-07-24 07:46:34
2
mrs.smile095
jamila mohd :
mm nimemic kweli kwenda daar jamani siku nikienda naomba kuwe na mashindano kama haya hadi raha yani 🤣🤣🤣🤣
2026-07-24 06:02:56
0
mulas7852
mulas mm :
siiii elewiii imekaejeeee apooo
2026-07-23 16:44:30
0
user6251228652773
Msauzi 👍 :
mbna kam ndo wenyew
2026-07-24 18:20:40
0
mabuti507
MABUTI OFFICIAL ✔️507🔥 :
Chuma inatembea sio poa yanii
2026-07-23 17:43:00
1
user2997424412323
Mr Kid :
munatokea wp apo
2026-07-23 16:51:04
0
user250494961614
YA :
mande
2026-07-24 18:37:44
0
akhudhaif8
Abdul khudhaif :
Natak kujua nani kafika mwanzo😃😃
2026-07-24 11:03:28
0
rukiyasaid760
Rukiya Said :
kwa mwendo huu mtatuuwa na presha siyo poa kabisa
2026-07-24 18:28:25
0
faridasalim371
Farida Salim :
ila zanzibr
2026-07-24 13:23:23
0
laiza9222
official brand :
mtafute mtafute kilimanjaro 💯 lzm tumuabishee
2026-07-24 11:21:55
0
dpac_lanez_11
DPAC LANEZ 11 :
wachezaji wawili mmoja referee kati hapo 🤣🤣🤣
2026-07-24 15:52:27
0
To see more videos from user @sailortz2311, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About