tafta road ya kutoka Katavi kwenda Taboraa utafuraii
2026-07-24 06:36:43
1
moudkoffie :
huku nikija na BMW X3 nitaenjoy sana
2026-07-24 08:13:41
1
Lastborn wa taifa@17 :
hii road ni ya wap to wap
2026-07-23 18:45:09
0
Giddy :
Mbele hapo baada ya Itigi huwa kuna tochi😂…na kuna kipande barabara ina mabondebonde….ishaanza kuharibiwa na malori…mkeka mzuri Tabora-Sikonge-Inyonga-Mpanda
2026-07-24 08:29:55
1
JAFARI BABAYU :
itigi moja hiyo
2026-07-24 11:29:38
0
user832462874826 :
ukiwa Na mombadier hapa ndio utaelewa
2026-07-24 13:26:31
0
miky 🙋 :
Noma sana
2026-07-24 20:08:12
0
Tanzania Org 🇹🇿, (Funguka) :
Sio uwezo wa dere
2026-07-23 17:01:29
0
African boy :
kipimo sahihi cha diseli 🤣🤣
2026-07-26 09:56:03
0
MAJOKA_AUTO_TECHNICIAN :
Singida rod kiumen uko
2026-07-26 08:22:48
0
gentleman balaka :
ila hapo kwa hio spid ukiteleza kidogo tu tunakuokotabkweny mawingu
2026-07-26 11:28:44
0
mwana nchambi ❤️❤️ :
Kwan gar kwenda sipiid Nigar yenyewe au ni mauwezo ya suka
2026-07-23 17:59:12
0
MWANANZENGO THE DRIVER🇹🇿🇹🇿 :
✌️✌️✌️
2026-07-25 12:47:09
0
Samson(SB)🇹🇿 :
🔥
2026-07-24 20:18:14
0
Masha 🌹♥️ :
😂😂😂😂
2026-07-29 12:39:57
0
To see more videos from user @j.road_life, please go to the Tikwm
homepage.