@focustvtz: "Mungu amempa kila mtu kitu ambacho mtu mwingine hana ili tuweze kutegemeana na kuheshimiana" - Maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James. #FocusTVTanzania
hiii ndio maana ya wimbo wangu pendwa wa ......... asingekuwepo masiki tusingemjua tajir kumbe heshima yatajir inalienable na manikin...............more
2026-07-24 08:03:04
2
eunicekaale :
Mungu mwenye mbingu na nchi azidi kukuinua
2026-07-24 08:05:17
1
chuji :
brow mitano tena ishaallah
2026-07-24 07:07:42
1
Neema Faustin :
Hongera kwako brro upo na hekima ya kiungu , Mungu akutunze sana.
2026-07-24 09:03:37
0
Najathy Chalamila :
Allah akuzidishie
2026-07-24 07:04:36
0
nimanema :
Kabisa mtumishi mungu akupe maisha marefu hiii ni zaid ya HEKIMA
2026-07-24 08:50:47
0
Kiando :
Hakika boss
2026-07-24 06:36:11
0
KICHWA MAJI 💦 :
fact
2026-07-23 18:51:12
0
user141582924019 :
balikiwa kiongozi
2026-07-24 05:54:33
0
user6157103678124 :
fact mkuu
2026-07-24 04:40:43
0
Sarahsmgeni :
Amina
2026-07-24 01:18:50
0
sttella :
Wise man 🙏 TUNATEGEMEANA
2026-07-23 20:59:42
0
mr p :
kiongoz wetu una madino ya kwenda
2026-07-24 04:45:42
0
fettyfatmah0 :
🙏🙏🙏
2026-07-24 05:08:34
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.