@ramadhaniadamu1999:

Rama DE van
Rama DE van
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 17:03:39 GMT
45788
1989
122
347

Music

Download

Comments

jarsonerasto
Jarson Erasto :
wakati mimi ninimwambia mpka December ndio fainali 😂😂😂
2026-07-24 09:02:38
31
user6115081247297
mwashi :
kati me ndo swaga yangu naenda kucheki gem siku nikajichanganya nikaulizwa gemu Gani nikajbu Simba na agentina
2026-07-24 13:39:12
14
petromafuru
ABDULL JACKSON :
:Hivi nani mwingine Alisha wai kupata mademu tik tok na mkaonana mkazagamwana au nimimi tu😅
2026-07-26 06:41:10
5
technology.com0
Tomm :
me ad mwez wa 10 ndo linaisha na leo nmeaga kuna mech ya Brazil na arsenal 😂😂😂😂😂
2026-07-26 07:50:19
10
asia10.5
asia🥰🥰🥰 :
ndotushajua sasa nirudie sa 7 uonee
2026-07-24 05:35:42
5
0698671686danieli
Mr D :
Mimi nimwambia fainali mweI wa Saba 2030
2026-07-24 21:29:56
2
king.perfec001
👑 king perfect 001👑 :
wakati bado world cup inaendelea hilo lilikuwa kombe la dunia😂😂😂😂
2026-07-25 05:24:56
4
user15976760319151
chubwa :
Mimi nilichelewa zaidi ikabidi niseme Leo ndo mwisho nafainal ime chezwa👋
2026-07-24 18:06:23
0
jumaomari93
jumaomari93 :
alietoa siri hakuwepo kwenyekikao Mim mkewangu anajua bado linaendelea
2026-07-24 07:42:33
7
everina.sanga.fre
Everina Sanga Fredrick :
eti kuna tim ya yanga na azizikii
2026-07-26 09:28:44
2
sele.com.tz
Seleman Lubanji :
mimi hapa 🙋🤸‍♂️
2026-07-27 06:53:06
1
mrmtwoinone
Dube29 :
Mbn bhd wanajua linaendelea na wenzio bhd tunaendag kuangalia na kulala huko huko
2026-07-27 15:26:16
1
kavaskhan.tz
Kavaskhan.tz :
mwambia kombe la dunia linarudiwa kwasababu kulikua na upangaji wa matokeo kwaiyo limeanza tena
2026-07-24 09:41:13
0
maryamos2256
it's mary :
kumbe limeisha uyu wang atasema alikuwa wap mpaka saiv
2026-07-25 19:21:44
1
user1961283043278
lidya :
😂😂😂
2026-07-23 19:19:18
0
genztz0748971575
laizer :
na sikia wewe ulwambia
2026-07-27 14:30:52
0
pastory686
pastory :
kaka mwambie saisi kuna kagame cup mashindano yanafanyika marekani ya Rwanda
2026-07-25 12:59:04
1
anaphyjaweta610
Anaphy Jaweta :
Ila Kweli Maana Mke Wangu Jana Ucku Nilipomuaga Naondoka Kwenye Mpila Kakomaa Kuwa Kombe La Dunia Limeisha🤣🤣🤣
2026-07-24 07:41:46
1
hamzamandonga
mandonga🫡 m2kqz💪💪 :
hahahha wakat ilikua sil yetu 😁😁😂
2026-07-27 09:28:53
0
chazytz12
chazy tz ⛎ :
bado linaendelea jamani 😄😁
2026-07-26 17:08:27
1
user1117617581514
45 :
wangu alikuwa anaangalia nyumbn tena kifurushi kiliisha kasema leo finally kalipie nikamuwekea TBC bure
2026-07-27 11:32:36
0
aluvini.emmanuel
aluvini Emmanuel :
dah hatar😅😅😅
2026-07-28 11:18:07
0
editha_katunzi
Sarah_ :
😂😂😂😂😂 nimechekaa mpkaaa aiseee
2026-07-27 13:45:43
0
To see more videos from user @ramadhaniadamu1999, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About