mimi nimesha achana nae nimelud kwetu nimechoka sasa
2026-07-30 19:23:01
7
saada lacha :
mi nataka kwenda kwetu nikapumzike
2026-08-03 19:19:04
2
charline :
njo shiye baba
2026-08-05 19:09:11
1
soraya @ soraya :
mbona nikama unazungumza na mm
2026-08-03 15:59:03
1
mpenda amani :
Hayo yote yananizungumzia ila niliamua kujiondoa ili kutafuta furaha ya moyo wangu,, nilikataa tamaa nikawa sijiwezi Kwa lolote chakula changu nilikuaga n kilio kipigo na mazimango. ila Mungu alinipea njia yakuondoka pale na kunipa maisha ya kipekee.