@mkakamweusii: TUMPE MAXI ZAKE DEREVA WA KONTENA NI NOMAAA🔥🔥🔥🔥#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
wanume woteeeee mnaopambana na kusaidiana hv MUNGU awabariki sana,
2026-07-23 18:33:08
647
amina :
uyo ndodeleva amekubalilolote litokee upande wake kuliko amuone mwenzie anapata ajali mbaya mungu azidi kumpaafya njema naamlinde na mitihani yabalabalani saluti kwake
Allah awalinde wanaume wote wanapoenda kutafta 100/
2026-07-23 18:28:05
116
Dolly💖💫 :
Hiyo ni AI maana contena limeandikwa CAT baadae maandish hayaonekan yakajitokeza tena yaliyo andikwa ONE
2026-07-24 06:24:50
86
Judey🇹🇿🇯🇵 :
sema unampa asilimia ngapi AI
anyway nampa 100% Mr AI
2026-07-23 19:12:19
37
ayuso :
AI....check the back words CAT ,ONE
2026-07-24 04:06:03
2
Koba Boy Tz ,,🇨🇩 :
100000000000000000,500000000
2026-07-23 19:13:15
2
faidhatkudra :
100% anaubinadamu ndani yake na hakujali ni nn kitamkuta kam akifanya ivyo allah amjaalie na awalinde madereva watembeao masafa marefu na maloli kwenda nchi mbali mbali na wawe na umoja panapowezekan kusaidian wasaidiane
2026-07-23 21:30:43
26
cute❣️ :
mungu ambariki sanaaa dereva wakontena maana hajamuokoa dereva mwenzake tuu kaokoa watu wengi sanaa
2026-07-23 18:39:19
10
husha cute :
asilimia mia kbs ten mung amsaidie sanaa awe na moyo uw uwo
2026-07-24 06:08:46
27
🙏Azizaaa❤ :
Nimejickia faraja sana ndan yamoyowangu kuona iman inakuwepo ivindoinatakiwa wapendwa mungu amlinde ktk safar zake naskuzote azidishe iman
2026-07-23 18:43:01
16
franciska mboya :
Sifa na utukufu kwa bwana yesu🥰🥰🥰
2026-07-23 17:56:43
14
mumy naylah 24 :
MUNGU amsameh makosa yake yote 🙏🙏🙏
2026-07-23 18:18:38
6
baby white madeko :
duuuh mungu amjaliye sana
2026-07-24 04:03:17
6
linah miss :
kiufup kasaidia kuokoa watoto wasibaki yatima baba ndo kichwa cha familia mungu ampe maisha marefu
2026-07-23 21:25:26
12
de RHUBHARBS :
mm naomba niulize kitu iv na barabara za bongo Zina CCTV camera.make sielew hiii imelekodiwa Meagan na cameraman/woman alikua kajipangajeeee..
2026-07-23 21:23:03
7
Riam💞💎 :
Kazi yake ibalikiwe km kilivobalikiwa kizaz cha mama ake 🙏🫂🥹
2026-07-24 05:20:37
11
mengi Amblosi kutoka TZ :
huyo dereva yupo nchi gan maana namtafuta Kuna zawad yake
2026-07-24 07:58:12
7
Ester msuya :
Ni zaidi ya ubinadam🥰🥰🥰
2026-07-24 09:35:14
1
David Kasiba :
uyo ndio dereva
2026-07-23 21:24:48
3
CHIME TRONICS 🌍 :
daah allah amlipe kila lenye kher
2026-07-24 06:44:04
2
To see more videos from user @mkakamweusii, please go to the Tikwm
homepage.