Mi nay natamani niwe naongea Kiswahili kwa shida jmn 😁
2026-07-23 23:33:49
88
George Amos :
wanaosema TUTAMFATILIA WADRAMA like hapa
2026-07-24 09:21:58
10
keevakayja ❤️💰 :
wadrama unamuangalia praise jicho la upendo ❤️
2026-07-23 18:29:57
102
hamsa girl :
hahaha game over😂
2026-07-23 21:42:28
3
mother :
praise what are still doing there
2026-07-24 04:24:00
1
mr kidd :
Praise where you, mwenetu ndo umemaliza 😅
2026-07-23 23:01:32
1
JudyTz🇹🇿💞 :
Wanilidhani leo nimekuwa wa kwanza kumbe ni internet yang haiko sawa
2026-07-23 17:55:36
33
Barnet :
Good idea umefwata ushauri
2026-07-23 18:34:36
0
Miss honey🍒🍒🍒 :
praise atakua anajua kiswahili jamn mbn mwisho ameshindwa kuongea jamn🥰🥰
2026-07-23 18:47:09
17
ernest adriano :
brother umeshajipata tafuta content ambazo zitakupa upekee acha ku deal na uyo demu coz atasepa uyo itakupa shida kwenye moto Huuu wa BSS tengeneza upekee watu wakufatilie me nakukubari ndomaa nakushauri
2026-07-23 20:41:31
22
miss sonie💖 :
Kwenye kula unapatia
2026-07-24 06:55:28
5
HD :
jaman na mm nataman niongee kiswahili kwa tabu
2026-07-23 18:49:00
9
🥀aiem naya ...💞 :
yan wa dram akaamuw anze na mwijaku🤣🤣🤣
2026-07-23 21:13:30
11
mudy khan% :
nakapenda bure katoto cha uganda 🇺🇬
2026-07-23 21:29:24
6
ruwaida056💞 :
ila wa drama mbona km unampenda kweli uyu dada😂🤣
2026-07-23 21:26:14
10
last born 🌹💞 :
shemej yetu uyo
2026-07-23 17:59:01
7
clara lekule :
hapo kweny kuishi nawe miaka yote.😂
2026-07-23 18:37:09
5
Yunahcute🥰😘 :
Ila Wadrama akiwa serious anaangalia vizuri🤗🤗
2026-07-23 18:09:55
10
mrs evance official :
wa drama umeacha kudeal na mm mkeo, unadeal na mshindi wa bss😅
2026-07-23 18:35:24
23
yusterML :
kaza mdogo wangu,adi akirudi uganda na ww umeingiza nusu ya ile 50M
2026-07-23 18:28:45
5
To see more videos from user @mrwadrama, please go to the Tikwm
homepage.