@alsaqladi4: سيل الجاح #قتد #الشعيب #الضالع #

اسير الغربه
اسير الغربه
Open In TikTok:
Region: SA
Thursday 23 July 2026 18:33:41 GMT
286
38
6
1

Music

Download

Comments

al_shuaibi2
صقر الشعيب :
🌹🌹
2026-07-26 12:57:58
0
user9367624956880
ابوعصام الجوبعي ثوان :
🌹🌹🌹
2026-07-23 19:57:59
1
alsaqladi4
اسير الغربه :
@غسان مانع مثنى العامري وهذا
2026-07-23 23:43:39
0
al_shuaibi5
≼ٰٖ۬ᬼوسيم𑁍͜͡ৃ᭄الشـ؏ــيـبي®𓄂ᬼ :
🤩🤩🤩
2026-07-23 21:59:46
1
To see more videos from user @alsaqladi4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

EBU MUULIZE MPENZI WAKO LEO HAYA MASWALI ❤️🥰  Je, ni swali gani kati ya maswali   20 ungependa kumuuliza mpenzi wako leo? 1.kiwa usiku wa leo ungekuwa usiku wetu tukiwa pamoja, ungependa nikufanyie nini? ❤️ 2.Ni jambo gani moja unafikiri ninapaswa kuacha maishani, na kwa nini? ❤️ 3.Ni jambo gani la maana ambalo niliwahi kukufanyia na huwezi kulisahau? ❤️ 4.Ni kitu gani ambacho unaogopa kuniuliza? ❤️ 5.Ni sehemu gani ya maisha yako imebadilika tangu tumekutana? ❤️ 6. Ni jambo gani unalolipenda zaidi kuhusu mimi? 🥰 7. Ni kumbukumbu ipi yetu unayoipenda kuliko zote? ❤️ 8.Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha jambo moja kwenye mahusiano yetu, ungechagua nini? 🤔 9. Ni kitu gani ninachofanya kinachokufanya ujisikie unapendwa zaidi? ❤️ 10.Ni ndoto gani ungependa tuifikie pamoja siku moja? 💍 11. Ni wakati gani ulitambua kwamba unanipenda kweli? ❤️ 12 Ni sifa gani yangu ambayo hutamani nibadilishe kamwe? 🥰 13. Kama ungeandika ujumbe mmoja tu kuhusu mimi, ungeandika nini? ❤️ 14. Ni jambo gani ambalo bado unatamani tufanye pamoja lakini hatujawahi kulifanya? ✨ 15.Kama leo ndiyo siku ya mwisho kuniona, ni jambo gani ungependa kuniambia? ❤️🥺 16.Ni nini kinachokufanya uniamini kuliko watu wengine? 🤗 17. Ni kitu gani kinakufanya ujivunie kuwa na mimi? ❤️ 18.Unafikiri tutakuwa wapi miaka 5 ijayo? 🥰 19.Ni jambo gani ambalo hujawahi kuniambia lakini unatamani nilijue? ❤️ 20. Je, bado unanichagua leo kama ulivyonichagua mwanzo? ❤️🌹  Tag mpenzi wako au mtumie maswali haya muone majibu yake. Huenda ukajifunza kitu kipya kuhusu mtu unayempenda!  Kumtambua😘✅️ Maswali 20 Ya Kumuuliza Mpenzi Wako Leo Ambayo Yanaweza Kubadilisha Mahusiano  Yenu Milele! kujua uko wapi na uliyenae ana ndoto na wewe ❤️🔥

About