@tevar_mediatz: Usiendelee kung'ang'ania watu kwenye maisha yako! Video Credit @Joel Nanauka VISIT FOR MORE: 👉 FACEBOOK: @tevar_demas INSTAGRAM: @tevar_demas TIKTOK: @tevar_demas

Tevar Demas
Tevar Demas
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 July 2026 20:14:08 GMT
140261
9210
179
1003

Music

Download

Comments

anithamsoke
Annie :
Joel, Joel, Joel, nakuita mara 3. Hakika umeongelea point ya msingi sana, funzo kubwa sijapata kuona. Sina hata nyongeza. Barikiwa sana Baba
2026-07-27 19:38:19
32
furaha2147
Furaha :
Asante
2026-07-24 08:05:45
9
lydiacakes5
Lydia cakes :
nikweli natakiwa kukubali tu
2026-07-26 08:25:23
19
salmahusseinmalon
Salma Hussein Malonka :
nikweli kabisa kaka nakukubali sana
2026-07-24 17:15:11
5
qute.moly
Toto zuriii😍😋 :
hivi joel umeoa😍
2026-07-25 14:24:15
7
marymarenga1
Marenga :
Asante kwa ushauri mkuu,moyo wangu tulia sasa☺️
2026-07-24 03:36:33
24
nashah43
Nasha official :
true
2026-07-23 22:36:23
5
speciozakaloli
xxxxxxxx :
kabisa binadamu tunabadilika
2026-07-24 02:36:49
12
alifrance150
LA FAMILIA SHOP 👕🧢👟_# Pablo :
2026-07-24 08:34:33
9
tumwebazemoses435
Tumwebaze Moses :
asante mkuu
2026-07-23 22:10:05
5
baadru__
BAADRU__ :
kama una mkubali jeol nanuka gonga like
2026-07-25 18:58:25
18
phide0101
Phide@# :
hakikaa
2026-07-26 14:59:16
5
matepwe
Matepwe :
nashukuru sana please darasa unafanyia maeneo gan 🙏🙏
2026-07-24 14:37:17
6
sevdatz
Nana🦋🥰 :
Kaka Joel huu ni ujumbe wangu kabisa hasa hizo sababu ulizozisema hapo mwishoni ndio ninazozipitia kwenye maisha yangu hakika Mungu ni mwema ujumbe huu umenifikia wakati sahihi kabisa🙌🙏🥹
2026-07-30 14:27:11
6
edwardpondo
Edward :
Ushauri wenye mantiki sana
2026-07-24 15:20:14
9
hawa.haji1
Hawa Haji :
asantee kwa kunieleza vya kina
2026-07-25 06:46:36
5
mr..somaa
MR SOMAA B :
Nikweli kabisa inapaswa Kumushuru MUNGU njoombele Pekee yake
2026-07-24 07:55:35
6
akyoohope
akyoohope :
kweli kabsa kiongozi Mungu akutunze uendelee kutupa material zaid@Nanauka
2026-07-24 03:58:06
11
mtetezi79
mtetezi :
Asante sana mr Nanauka.ubarkiwe sanaaaaaa,umeniondolea matongo tongo ktk fikra zangu ndg
2026-07-24 06:12:12
6
bignovicelee
NoviceLee :
Genius genius 100🔥
2026-08-13 20:29:09
3
masheyn_perfume
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
Asante
2026-08-08 19:34:57
3
iek.institute
IEK INSTITUTE :
Kuanzia leo nitaacha kujilaumu kupoteza baazi ya watu katika cycle yangu. hongera san kaka, punguza itifaki tukutane site
2026-09-10 12:41:47
2
swabrasalim17
susu :
kweli kabisa kaka
2026-08-09 08:58:57
2
kulukutu.kalala
kalala Kalala :
mungu akulind broo nanaukaaaa
2026-09-07 20:38:03
2
user8446375574888
pasaka :
kiukweli umegonga mkuu
2026-08-23 06:21:38
2
To see more videos from user @tevar_mediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About