Your too late bro, let our hip-hop stay on its safe hands.Lazma utofautishe Kati ya Rappers na MCs
2026-07-24 03:00:32
5
lunya fans💥✨ :
yeah true story 🔥🔥
2026-07-25 11:32:59
0
RIEH 🤟🎭 :
GOAT ALWAYS
2026-07-24 05:18:20
8
Toby Rapa :
kweri kaka
2026-07-25 20:46:13
1
BAD WIDDY 🎅🎅 :
sahh kaka
2026-07-24 06:29:53
1
mangi kileo :
kwaiyo mafanikio nikuwa na gari sio
2026-07-24 08:23:53
1
official_benitho8 :
uko Sawa kaka🥶🥶
2026-07-25 08:21:26
1
thug life :
lunya ni MC sio rapper kumbuka kuna utofauti apooh na kla mmoja anakuwa na tabia zake apo nazani mnazijuwa tabia za rapper na MC
2026-07-24 11:48:19
1
Richkido :
Lunya afanyi hip hop a nafanya trap
2026-07-25 13:39:59
1
SHAGY COBRA :
Hakuna msanii wa Hip hop, Bali Kuna rap inayotokana na Culture ya HIP HOP.
2026-07-24 06:55:21
2
#centralcee🎵🎵 :
good
2026-07-24 07:37:16
1
baraka mwamahonje :
sw ushahidi mzee wangu huoo ndio ukweli
2026-07-25 10:06:08
1
Sam plan :
kabisa
2026-07-25 13:23:19
0
Patrick Kapande :
sahh broo
2026-07-24 12:33:19
1
Abdulghanif Mikidadi :
Lunya ni noma sana broo ✌️✌️
2026-07-24 08:56:51
1
BEGOCHI BRAND :
sanA babU
2026-07-24 06:01:13
1
cana😇 :
noma sana lunya🤟🏿🤟🏿
2026-07-24 09:39:53
1
fadgar75 :
mtu ashakuambia missing haijui
2026-07-24 08:42:27
1
Richkido :
Gari na nyumba ya kupanga nimafanikioo
2026-07-25 13:40:34
2
Richkido :
Wasanii wabongo weng hawajafanikiwaa Ila wako kwenye njia ya mafanikio mafanikio ni kumiliki viwanja, nyumba, na biashara kubwa na uwekezaj pamoja na kuwainuaa watu Familia na ambao Wana deserve kwako
2026-07-25 13:42:33
1
Bensoul :
lunya ni mkali tokea uongo na umbea.. ila kwa ma emcees wakali hayumo.
Emcees Bora wa mda wote
1. Wakazi
2. Unju
3. Freshlikeuhhh
2026-07-24 06:05:20
1
Mrmaster :
Wabongo mpaka leo hamjui tofauti ya Raper na MC...
2026-07-24 00:34:55
4
SHANG LUNYA FAMILY :
Kwa heshimaaaaaa team mbuziiiiii
2026-07-24 05:01:22
2
Talecq Casado :
LunYa Tunamkubali sema ndo ivo Tu TunakunJa
broh ila lunYa ndo rapper bola Tz ubishi Tu
2026-07-24 07:09:56
2
B@biløñB@ïsà 🫵🤓🤏 :
kamsikilize Songa alaf msikilize Lunya Utofauti Utauona
Mwenyewe Naiyo Misingi Utaiona Apo apo
2026-07-25 16:30:58
1
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm
homepage.