you know what? she's saying the truth.
ooooh,I have alot to say about this,I always look back and tell God you did it
2026-07-26 06:29:29
0
Mamayoo :
wangu namuombea kukosa Amani alie Vile nalia hivi 😭😭😭asiwai pata Amani 😭😭.
2026-07-24 05:05:25
51
Winny :
let them pay. God of vengence
2026-07-25 20:44:06
0
Belinda Lubwakale :
truelly
2026-07-25 15:28:43
0
queen Pearl 🇺🇲🇰🇪🇺🇬 :
guess what Mimi naye nilimusamehe kitamboo
2026-07-26 04:44:43
0
user3254982363850 :
true story
2026-07-24 10:37:13
0
Mama Richiy :
akose amani kabisa hiyo ndio maombi yangu kila siku
2026-07-24 06:38:46
17
salomeoenane :
exactly ,Alfred asava
2026-07-24 09:42:51
1
user1248161582568 :
mm nae siwezi msamehe kabisa 🥺
2026-07-25 15:10:53
2
Grace Atieno :
wangu ameniacha na mimba na adi akaniblock
2026-07-24 10:23:12
9
Bella :
Mungu amukoseshe amani siku zote za maisha yake
2026-07-26 01:25:57
2
🥰mamake bravell 💞💞 :
mm wangu siezi muachia alinitupa n mtoi akiwa miezi miwili kwa sababu ya mwanamke ametoka Saudi ako n pesa mm siezi muachia sahii mtoi ako 6years naenda kumtahiri bila baba yake😭😭😭😭
2026-07-25 17:08:19
0
pendopasion :
mungu kutana naye yale yote aliyoniumiza
2026-07-25 21:06:40
0
brilliant :
kuna mwenye tulikuwa tumepanga mpaka wedding, alafu mwisho akaniambia mamake amemtafutia bibi,mungu anisaidie nikutoe kwa roho lakini penye uko,wacha tu nisiongee tena .
2026-07-24 06:09:31
2
Saviour Praise :
na kama amefariki je
2026-07-25 06:15:56
0
concy :
amen
2026-07-24 04:04:26
1
filoo 100_misscalls :
hii nayo ni kweli kuna kipindi nimelia sana 😭😭😭kwa ajili ya kijana ya mtu
2026-07-25 09:10:40
1
Joyce naserian :
mimi naombea wangu penye ako akose amani ju mimi nko n mimba yake n amenda ameowa mke mugine mimi nko ninalia kila siku
2026-07-24 14:41:21
1
mukyala Aron for life :
amen
2026-07-24 11:02:05
1
@manyoni€²⁵⁴ :
𝘬𝘢𝘮𝘢 𝘩𝘢𝘵𝘢𝘬𝘪 𝘬𝘶𝘯𝘪𝘰𝘯𝘢 𝘯𝘪𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘫𝘦 𝘱𝘢𝘴𝘵𝘰𝘳
2026-07-26 05:56:23
1
Alicia :
wangu namuombea mungu ampe Amani lakini apate funzo