@alliy.sheff_73:

Alliy sheff_73
Alliy sheff_73
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 03:35:26 GMT
23830
326
112
222

Music

Download

Comments

shamsa.mbiro
Shamsa mbiro :
😭😭😭😭😭 Ndomaana watu mambo yetu hayaendi kumbe Nyota zetu zimefukiwa makaburini
2026-07-24 05:48:12
13
khamis.ulamaa
ULAMAA.. :
Nyie mlijuaje ??
2026-07-24 09:38:26
6
hamadallyy
M💯 :
duuuuuuuuhhhhh
2026-07-24 09:17:35
0
chinunuu
chinunuu :
Nduguzangu nkiachika mutanitambua😂
2026-07-24 11:13:34
1
zindegi73
REDCHILI 🌶️ :
mm nashukuru Allah labda mm pia niliwekwa hapo ndio mwisho Leo WA mambo yote
2026-07-24 06:08:30
7
alkannubi3
Alkannubi :
Mambo ya Kiswahili au ya kishirikinaa??
2026-07-24 11:17:51
1
munacutemuna01gmail.com
Muna .......cute 💯🌹🦋 :
hebu angalien muwez kuta jina langu half muniombe duwa nimechoka 🥺🥺
2026-07-24 10:19:03
3
nafisa.lali.2
Nafisa Lali🥰😍 :
mm tangu nizaliwe sijawahiii fanya haya
2026-07-24 10:50:55
0
ladenrashe
laden rashe :
hapo jungu lako likifukuliwa mambo yako yanaanza upya hapo kuna waliofungwa umewafungua na waliofunga matatizo yao umeyafungua
2026-07-24 11:30:04
0
farida.magulu099
farida hair house💃 :
Mungu awalinde jaman maana hili nalo ni jambo la ugwana
2026-07-24 10:20:32
1
sakinamaulidi
sakina :
😭😭
2026-07-24 05:25:34
1
wazfa.mgweno
UHURU MCHANGANYIKO :
kaa mtihan wallah
2026-07-24 09:58:47
2
user35607947153080
user35607947153080 :
Hee jamni kama nime zikwa apo muna nifua😂😂 jmni. mume wangu niliyo mronga😂😂😂
2026-07-24 10:54:39
1
mosh.mosh697
mosh mosh :
Wabaya watu siku zote
2026-07-24 10:39:52
1
mrs.hafidh3
Habiba Sabour :
wapi hii?
2026-07-24 12:47:35
0
alwida.spare.parts
Alwida Spare Parts :
innalillah wainna ilayhi
2026-07-24 12:58:38
0
khadioatsy7
khadija :
Bora munusuru watu
2026-07-24 12:47:31
0
abuuazhar5
MJUMBE :
HII NI AI AU
2026-07-24 12:46:24
0
mariam.said154
Mariam Said :
mtihan san hata kabur la mume wangu nalo wame weka san vitu hiv 🙏🙏
2026-07-24 12:35:06
0
khulaik
Hamza :
Sasa mmejuajee
2026-07-24 12:30:39
0
jumahamis099
jumahamis099 :
duh ni hatar
2026-07-24 13:10:11
0
mirajson
Abdson Curtar :
😁 kesi inalud tena upyaaa
2026-07-24 13:05:33
0
aishasaidiakimu
Mama wawili👫 :
mbona icho nimekiweka jana t kwaiy pesa yang ishaenda bureeee kwa mgang😂😂😂
2026-07-24 12:52:09
0
user113369309043
user113369309043 :
nyie mulijuwajee
2026-07-24 12:45:11
0
user8734618823490
fety :
subhanallah wapi hapo?
2026-07-24 04:44:06
0
To see more videos from user @alliy.sheff_73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About