@sonkobloodcare: Shinikizo la damu (presha) huitwa “muuaji wa kimya” kwa sababu mara nyingi halina dalili hadi pale linapokuwa limesababisha madhara makubwa kwenye moyo, ubongo, figo au mishipa ya damu. Kujua kiwango cha presha yako kunaweza kuleta tofauti: ⚠️ Kawaida: Chini ya 120/80 mmHg ⚠️ Karibu na kiwango cha juu: 120–139/80–89 mmHg ⚠️ Shinikizo la damu (dalaja la kwanza): 140/90 mmHg au zaidi Presha kali sana: zaidi ya 180/120 mmHg 🩸Mpasuko wa mshipa mkubwa wa damu (Arterial Dissection): Hali ambapo tabaka la ndani la ukuta wa mshipa wa damu linapasuka, na damu kuingia kati ya tabaka za ukuta wa mshipa, hivyo kutengeneza njia isiyo ya kawaida ya damu Usisubiri ujisikie vibaya ndipo uchukue hatua. Kupima presha mara kwa mara, kupata ufuatiliaji wa kitabibu na matibabu kwa wakati kunaweza kusaidia kuzuia madhara makubwa na kuboresha maisha. #shinikizoladamu #drsonko #sonkobloodcare #bloodpressure #presha

sonkobloodCare | Kisukari&Afya
sonkobloodCare | Kisukari&Afya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 04:14:02 GMT
426
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sonkobloodcare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About