Mchungaji anaogopa serikali kuliko Mungu mchungaji anaongea uongo mbele ya madhabahu ili watawala wafurahi I believe in God but I don’t trust churches
2026-07-24 09:04:02
4
Yusto Senior 🇹🇿 :
amen kaka ubarikiwe 🙏🙏🙏
2026-07-24 10:40:22
2
Moh'd Hassan :
musijizime data sababu ya kuanzishwa ukristo dunian ni kutawala serikali za ulimwenguni siasa na ukristo ni baba mmoja sema ukristo ulipenyezwa km ima
2026-07-24 11:09:07
0
Alex Sarumbo :
kaka umemsahau gwajima
2026-07-24 06:31:38
1
Mbogela Ally :
WANA CHAGUA MASOMO YA KUFUNDISHA HAWAPO KUTETEA UTU IMANI NI GHARAMA
2026-07-25 14:56:52
0
sedini bwenge :
Tunaitaji nguvu mpya
2026-07-24 11:46:10
0
macheboy@45 :
kanisan hawasali wana cheza kwaya na mziki
2026-07-24 06:09:56
0
PATIENT DU CIEL Kakule :
amen
2026-07-24 05:40:57
0
avithrumanyika :
amen
2026-07-24 12:21:07
0
Salivation workers :
wapooooo swata yupo
2026-07-24 10:51:35
0
Justine :
waeleze, wengine wameingia kwaajili ya sadaka
2026-07-24 05:28:25
0
chef john :
kweli Abel. mei nakuelewa sanaaaaaaa. MUNGU WA MAJESHI AKUTIE NGUVU NA AKUSHIKE KWA MKONO WAKE WA KUUME WA HAKI YAKE. UBARIKIWE SANAA Abel.
2026-07-24 08:34:26
0
user96287490998836 :
viongozi wa dini mnatakiwa kuwahamasisha vijana kukua kiroho napia kuwasaidia kukua kiuchumi muwawezeshe vijana makani ya zamani kurikua na fursa njingi sana kwasasa viongozi wareo wanajijari waotu na famiria zao
2026-07-24 15:33:20
0
George Jordan Mwinami :
Yes, wengi wamekuwa machawa wakitegemea huruma za wadhalimu ili waishi
2026-07-24 08:38:39
0
Robert Nkyalu :
kuwa mtumishi wa Mungu ni hatari kuliko kuwa mwanasiasa kibiblia
2026-07-24 09:36:48
0
Hellen Fliakos :
Kumtumikia Mungu kwanza lazima ujikane :sasa wewe ukiona huna kazi ukaenda uwe mt wakati hukuitwa utawapoteza watu wa Mungu :kweli ni ole umeitwa mtumikie Mungu ktk kweli ya Mungu hamkuitwa acheni mnamtia aibu mungu aliwaumba badilikeni kweli
2026-07-24 11:15:09
0
J4 :
Wanapenda kukemea mapepo yasiyoonekana tu, ila yanayoonekana (wadhalimu) wanaufyata😁🚮
2026-07-24 09:14:30
0
Baba Esther01 :
wengi wao wanainingia kweny uchungaji kama ajira tu ili waendeshe maisha yao
2026-07-24 07:46:23
0
Abdul m❣️💞💕💖💘 :
Abuuu jehel tuache bhn kondo kondoo gan watu mnawaita kondoo si matusi hayo
2026-07-24 05:16:13
0
Calyogurt1 :
Pr Kitima yupo
2026-07-24 11:30:37
0
To see more videos from user @shiliwaabel, please go to the Tikwm
homepage.