hapo SHIDA ni Moja TU na SIO TATIZO la msanii bali producer huu msalaba ataubeba yeye..kijana anafanya Swahili pidgin crossover market ,iko vizuri ILA yote yanaonekana hayana MAANA kwasababu the identification of Tanzania rhythm and groove from our traditional drums and percussions hakipo hapo kwenye beat hata kimoja VYOTE vilivyopo ni West African percussion kits,naongelea afropop,Sasa ni ngumu kwenye soko huyu kijana kutoboa kwasababu uimbaji huu HUKO Nigeria upo mwingi na ZAIDI ya huu ,Sasa kijana tunachotakiwa KUFANYA ni kitu kimoja usipoteze muda una kitu ILA producer ndio hajielewi YY anajua kua music producer ni kufungua FL STUDIO kugonga beat na kuweka vocals basi ,,huo ni MZIKI WA zanani sanaaa nowadays it's all about technology uar identity is the only thing the world music industry is waiting for, Tanzania tuna Kila kitu ILA Bado mpaka Leo tumebaki kucooy copy VITU vya WATU na kuwatangaza WAO hali SISi tunazidi kuharibikiwa kwenye MZIKI WA kidunia ,kwenye profile yangu hapo Kila kitu kipo nicheki nikusaidie
2026-07-25 20:56:55
5
iddy nado :
song name bro please
2026-07-27 05:48:33
4
JPOP :
your no. 1 Fan Cayter🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-24 05:53:54
2
phama_tz :
Noma🔥
2026-07-27 06:47:00
2
Heisbrema :
sounds like afro beat global star and you go be bro
2026-07-26 09:03:52
5
ONE1 KIBA-MBI🙌🌟 :
good
2026-07-27 05:38:08
3
Jons_Jack :
Hot
2026-07-27 11:32:23
2
biba_ :
real hit🔥🔥🔥
2026-07-26 08:33:25
2
Melicho Masengo🧢 :
Imekaa sawa
2026-07-26 09:39:48
3
🔥azzobad🎙📷 :
watu wakuwapi kuona huu 🔥🔥🔥🔥
2026-07-24 18:05:56
4
Itsjohym :
Oohohh n firee badmn
2026-07-27 15:14:28
2
iddy nado :
oya kama mbelee 🔥🔥
2026-07-27 05:48:20
2
middy tz :
noma sana
2026-07-25 07:42:37
2
king_lolo18 :
Babaaaa🔥🔥
2026-07-24 21:40:15
2
Floxwhite🈹️ :
noma sana
2026-07-28 10:56:33
0
Dennoh :
Elani melodies kwa umbali💪💪💯💯
2026-07-28 20:44:22
0
Ozem :
Kali🔥🔥🔥
2026-07-28 18:20:04
0
Collins wanjera :
napenda hii
2026-07-29 10:30:47
0
To see more videos from user @boycayter, please go to the Tikwm
homepage.