Which is why dating is a wastage of time and energy
2026-07-24 14:06:44
3
AMERICAN BOY🇱🇷 :
Sure broo
2026-07-24 20:14:07
0
CALVIN⁴🤴 👑 :
huyo ni mm kaka nna mwananmke nampenda sana lakin kwasasa nmeamua nvunje mpaka laini ili adinipate coz sahv uchumi wangu umeyumba sana mpaka pakulala pananishinda nkamua tuu nmpoteze ili nieanze kueaza maisha yangu niache kumuaza yeye but namtakia maisha mema popote alipo🙏🙏🙏🙏 na anisamehe sana make hajui hata kwann nmemuacha am so sorry 😞 😔 😟
2026-07-24 16:53:33
13
Mr nobody :
very clever bro,well spoken
2026-07-24 18:51:22
3
KIM 9090 :
natamani post hii aiyone Dem wang mana🙌🙌
2026-07-24 21:41:34
5
flower rose :
uyo akupendi tu
2026-07-24 11:41:00
9
Fighter👊🔥💘. :
fact bladha.
2026-07-24 21:31:47
0
chandez tz :
yeah nikweli
2026-07-24 20:44:44
0
Justin stamphord :
me nilishawah kunitokea🤣🤣🤣
2026-07-24 15:27:11
4
Dieumerci :
utterly👌👌
2026-07-24 23:14:07
0
@Wren-😍 :
je aliye kublock bila sababu na akawa na msichan mwingini na unawaona hapo amesitisha mahusiano😳😳😳
2026-07-24 12:04:51
3
JOHN Kagi :
Brother umeongea ukweli kbsa hawajui Tu tunayoyapitia
2026-07-24 22:01:50
2
katoto :
mmh sasa me ndo nafanya akose Hela jaman😅😅
2026-07-24 16:34:13
2
Elizabeth Meshack :
kumuacha mtu kwa sababu zako binafsi , siyo solution ni kuwekeza chuki , na siyo njia ya mafanikio
2026-07-24 21:59:42
1
Qute Ray💞 :
mi kaniambia naomba tubaki tu kama malafiki
2026-07-24 09:29:27
2
niko_ooo1 :
tukiwaambia ukweli dharau zinakuwa nyingi kulinda brand ni kusitisha tu
2026-07-24 21:44:05
2
kenny fine tz5 :
DAH NAMIMI NILITAKAGA KUFANYA HIVYO KISA TU UCHUMI ILA NAMPENDA SANA NIKATAKA NIMUACHE MALKIA WANGU LAKINI NASHKURU NIMEKOMAA MPAKA SASA NIPO NAE
2026-07-24 17:15:14
3
ĞĘŅĐÆĶå 🦍🇹🇿🇸🇩 :
Huyu ni mimi kabisa....😁
2026-07-24 17:25:55
3
Eunice Dino :
me ameninyamqziw Tu bila Sababu na ana view status zangu sielew
2026-07-24 12:51:05
1
shoni :
ulikuwa kwenye akili yangu facts tena ngoja nikufollow kabisa
2026-07-24 18:17:54
1
Baby J collection 🛍️👙👗👜 :
mi hanitafti na nikimtafta ananijibu kwa makato sana anampost mwanamke mwingine na kumsindikiza na maneno usingizi wangu😭😭
am single nimeachwa bila kuambiwa😭😂
2026-07-24 11:53:03
1
k9 :
fact kabisa
2026-07-24 11:58:50
1
immanuel :
me nilimwambia ivyo nilikuwa kwenye mkataba wa mwaka mmoja wa pkpk nakuja kumtext naambiwa acha kumpigia mkewangu na yeye anadai hana mahusiono nimemtema mazima
2026-07-24 21:42:25
2
Sulesh :
Hawawezi Kuelewa
2026-07-24 20:19:47
1
To see more videos from user @e.munyugu, please go to the Tikwm
homepage.