@utaliitz: Mwanga masaa 24, Jua halizami kabisa, ni mwanga mda wote! ☀️⬆️🌍🇹🇿📍#kiswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #tanzania🇹🇿

MtaliiTanzania
MtaliiTanzania
Open In TikTok:
Region: CA
Friday 24 July 2026 05:45:20 GMT
1022570
59929
1754
3651

Music

Download

Comments

zwangendaba255
ZWANGENDABA :
kariakoo ingeamia hapo
2026-07-24 07:30:27
642
bigbrother.bg07
BIGBROTHER :
Apo ndo pazuri kwa biashara sas
2026-07-24 15:43:21
235
biyeri254
5฿ⱤØ₮ⱧɆⱤŜ̬ 🇰🇪 :
kenya pia kuna sehemu inatwa kaloleni jua halizami kabisa
2026-07-24 10:26:11
224
nolosehope
Be blessed 🙌✨️ :
kuna vitu vingine sio sayansi wala nn ila ni Mungu tu anafanya .
2026-07-24 09:35:58
1411
anoga034
Anoga :
asa shuleni tunaenda saa ngap?
2026-07-24 06:53:46
331
officialhawa2005
🫧Aiem Hawa🐝✨🌸 :
jamani naogopa naomba mnibusu 🥺
2026-08-28 11:37:40
12
dsalvy0507
Baba Vivian :
Huu ndo mwanga wa milele uwaangazie labda 😀😀
2026-07-24 15:22:03
126
healing_with_lulu
Lulu Sarungi :
Ukiwa kwenye mfungo sijui inakuwaje😂
2026-07-24 19:21:59
27
sudisama
Sama Tezza :
kigoma nilifika saa moja nikakuta jua halijazama nikashangaa sana
2026-07-24 10:02:33
13
keneth2550
April 24 🇹🇿🇧🇮 :
sawa saa 2 unasemaje usiku wakati hakuna giza
2026-07-24 09:58:13
10
paulrt2
paulrt :
Kweli huo ni muujiza wa Mungu
2026-07-24 12:11:36
26
user1907865836996
user1907865836996 :
kipind cha sama ndo wanamaanisha nin
2026-07-24 13:20:35
6
endm541
Nzela :
kwann unasema saa mbili usiku wakati usiku haufki
2026-07-24 17:58:24
6
joyce.maige5
JDM♍ :
Password yako inatusaidia nini sasa😁😁😁 utani lakini
2026-07-24 10:17:09
7
samm5309
@samm :
nitazama kwa niaba ya jua
2026-07-24 19:15:45
5
tkmaster.14
Tkmaster 14 :
kwahy tulio zoea kulala Mpka tuone Giza inakua je😳
2026-07-24 09:54:53
6
flavianapond
flaviana wakigoma :
mungu ni mungu tu
2026-07-24 15:28:53
5
chief_kingalu
Chief_Kingalu♍️ 0%🪫 :
Nyie kigoma saa 1:30 uck jua linawaka 😂😂
2026-07-24 20:51:04
5
benardi.vincenti7
benardi vincenti :
kaka password yako ipo huko c 2po tz😂😂😂2taiba nini
2026-07-24 16:21:32
4
elizabethjumbe
elizabeth jumbe :
Sasa tukiiyona password simu tutaipata wapi kaka Alex jamani🫣💃
2026-07-24 08:08:48
66
684sarah
sarah KP💞 :
sio uko tu ata uku kwetu songea halizamagi
2026-08-28 10:07:23
9
maundu_alphonce
maundu_alphonce :
Password yako inatusaidia na nini
2026-08-16 08:59:50
16
bertoldluambano
Bertold :
KUMBE Dunia ni flat..!!!?🥺🥺🤔🤔🙆
2026-07-24 10:11:01
7
ebby.shamwary
ebby shamwary :
Tanzania pia kuna sehemu inaitwa keko jua pia alizami
2026-07-27 07:37:00
6
mnama.fashion.wea
Mnama Fashion Wear :
swali langu ni kwamba unajuaje kuwa now ni asubuhi au ni usiku
2026-07-24 10:29:37
25
To see more videos from user @utaliitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About