Sadaka ya mbegu haikuwah kuwaacha watoto wangu🥺 nina ushuhuda…ina nguvu sana…mpaka nashangaa
2026-07-24 08:18:46
19
jacque💚♎ :
Uyu pastor anaitwa nani jamaniii
2026-07-29 20:47:23
1
Shamsa Lovy :
baba naomb nikumbuk namm sitaman wanang aendele kukaa kwadada ang nijalie rizik niwez kumlea mwenyw🥺🥺
2026-07-25 14:08:05
6
Ms_norah❤️👣 :
Mungu kumbuka watoto wangu
2026-07-25 05:50:01
1
SARAPHINA 🦋💕 :
Ameeni🥺
2026-07-31 12:48:56
0
Belinda Mirambo :
Amen
2026-07-31 18:30:21
0
CHRISTO MFALME :
amen
2026-08-05 10:40:56
0
may :
Ee Mungu kumbuka sadaka yangu
2026-08-05 13:13:46
0
Tricy cosmetics :
Amina
2026-07-26 07:15:41
0
Irene Lucresia :
MUNGU usimuache mtoto wangu siku zote 🙏🙏🙏🙏
2026-08-03 15:32:55
0
user7252610459870 :
Ahsante sana MUNGU namimi naomba uniwezeshe niwena moyo wa utowaji
2026-08-06 13:08:50
0
Tumaini :
Amen
2026-07-26 07:06:28
0
G'mumus :
Amina sadaka yangu ikalie mbele zako bwana ikakukumbushe uzao wangu labda nitashindwa kuomba ila angalia moyo wangu Mungu wangu.
2026-07-30 06:42:53
0
husnaabel98 :
Ni ombi langu Kwa kweli
2026-07-24 07:00:25
0
lilikumar24 :
Ni kweli kabisa siku moja nilisikia mama mmoja anaumwa na huyo mama alinisaidiaga kipindi napitia magumu jamani niliomba kwa ajili yake nikasambaza jina lake kwa waombaji waliomba sana kwa ajili yake na MUNGU alimponya
2026-08-05 11:59:07
0
CuteNey @official :
ameeen
2026-07-27 08:05:12
0
jacque💚♎ :
Amen🙏
2026-07-29 20:47:37
0
CHRISTO MFALME :
amen
2026-08-05 10:40:40
0
Erica Makessy :
amen🙏
2026-07-25 09:45:30
0
Glory 💕💕💕 :
Ameni
2026-08-07 18:15:13
0
Twijisye Mwakahoji :
ameeni
2026-07-25 10:56:41
0
vero :
AMEN 🙏
2026-07-25 17:36:56
0
M.O.M. G :
Amen
2026-07-25 16:59:20
0
Lydia Sanga :
Amen
2026-07-25 14:55:52
0
mamabzmtumba :
aminaa
2026-07-24 09:59:46
0
To see more videos from user @cuthberttz, please go to the Tikwm
homepage.