@techtopia__: Endelea kutufuatilia ili kujifunza zaidi, Karibu kujiunga kwenye group, Link ipo kwenye bio👆 #techtopia #techtipsandtricks #fyp #trending #tanzaniantiktok🇹🇿
Techtopia
Region: ZA
Friday 24 July 2026 06:14:44 GMT
Music
Download
Comments
0fficialfalcon.tz :
Kweny camera apo ni Sahihii lakin android camera’s features zake zpo outdated san
2026-07-25 20:28:14
1
Supreme Crypto :
Camera za android zote zinachuja sana siyo kama iPhone
2026-07-24 07:43:33
4
Kabido_ jr :
Mtu anaejua kutumia simu huwezi mshauri atumie Iphone simu ambayo inaku limit matumizi
2026-07-24 12:38:33
10
mwalluh 💉💉💊💊✅ :
fatilia iPhone 17 camera katengeneza nan
2026-07-24 12:49:15
2
MTAFYA TV :
Android ni baba lao Iphone zina limit ya matumizi
2026-07-24 13:26:46
2
baraka.rens :
kikubwa ios ina limit. therefore ios is not for biginers🔥
2026-07-24 18:12:15
2
Jose_official8 :
Iphone ni umaarufu na fashion tu lakini kwa mtu anayejua simu Android (High range)ndio zenyewe
2026-07-24 10:16:40
5
Gershon samwel :
well explained
2026-07-24 18:26:51
1
lexistechprints :
kwa suala zima la security iphone hana mpinzani ila kwenye features na uhuru wa mtumuaji Android anashika nafasi
2026-07-24 15:23:10
4
Kevin :
Fananisha iphone moja na android moja sio sio kisema andoird nyingi💔😂
2026-07-25 07:25:58
1
Nicholaus Mwangomo :
wanaotumia android kwenye picture sharing mtihani. unaamisha picha kutoka kwenye file ukileta whatsap au ukaupload inafifisha ubora tofauti na iphone.
2026-07-24 10:09:04
2
Kenan :
Nimetumia sana Android na mpaka sasa natumia ila Iphone..🙌 kwanzia Optimized, Softwares zake na user interface
2026-07-24 12:42:15
1
Ngulile MOH. :
watumiaji wa android tujuane hapa
2026-07-24 09:22:40
2
SIXG :
kama ku compare cr7 na mess.. inachanganyaga hivi hivi 🤣
2026-07-24 10:38:33
1
Porcupine junior :
jibu lishajulikana
2026-07-25 14:44:33
1
Imma Bushy :
ila km S26 Ultra, ile AI sio simu mzee😂
2026-07-24 12:28:01
1
Saleem Hemedy :
msela sijui anajikuta nani
2026-07-24 10:47:32
1
💲💎$TËV£💎💲 :
mtu ambae haendeshwi na mihemko anatumia Android wenye mihemko msinifokee😂😂
2026-07-24 14:58:51
1
Dabodeff Mangandira :
IPhone ni kama ya mkopo tu
2026-07-24 18:34:29
0
MAISHA ELECTRONICS :
👑👑👑
2026-07-24 07:20:14
1
chimbolaviatumby :
🔞🔞✊🏻
2026-07-24 08:47:14
1
Mamen NoBo :
🔥
2026-07-24 09:44:19
1
To see more videos from user @techtopia__, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.