@cutevinercosmetics: New Design ndo imetolea… Ubora upo juu kabisa bado haijachakachuliwa wala kutolewa copy yake👌👌 Brand new HII NI KAMA DRYER inakausha nywele zako perfectly INA SAUTI NDOGO.. unaweza kuitumia kwa mtoto bila kumwogopesha… unaweza kuangalia video Inachana na kuchambua nywele ina layers nyingi za maneo ya plastic Lakini inanyoosha kama pasi kwasababu ina layers za meno ya chuma yanayopata moto Kwahyo itakufanyia kazi NNE KWA WAKATI MMOJA Itakukaushia Itakuchania Itakuchambulia Itakunyooshea nywele zako Na unaweza kuitumia ikiwa kimya … ina button ya HEAT ONLY kwahyo siku hujisikii kupigiwa makelele basi unaitumia ikiwa kwenye mode ya moto tu Siku unataka ikukaushie nywele umetoka kuosha basi unaweka feature ya kutoa upepo na moto Yaani ni wewe unavyotaka👌👌👌 Ni heavy duty unaitumia kwa familia kubwa,unaitumia kwa salon, unatumia kwa wewe mwenye nywele nyingi zinazojifunga… inapiga kazi pote pote Ina Uk plug,MENO YAKE MAGUMU BALAA As always njoo dukani utest kifaa chako kabla ya kuchukua… Ni model mpya zipo chache mno Unaipata ikiwa full box,mpya kabisa.. haijatumika … unatoa karatasi kabisa😀👌👌 Tunapatikana Sinza Mori Call/whatsapp 0744382928 Tunakuletea popote ulipo Tanzania 🇹🇿