@hauleprimearenatz: 🚨 FISTON MAYELE NDANI YA SIMBA? 🦁🔥 Je, huu utakuwa usajili bora zaidi wa msimu? Toa maoni yako 👇 Like ❤️ • Follow 🦁 • Sha@pyramid_team_group re 🔁 #SimbaSC #FistonMayele #Usajili #NguvuMoja
IBRAHIM DOUMBIA 🇬🇳
Region: TZ
Friday 24 July 2026 07:25:25 GMT
Music
Download
Comments
niko mweus :
Kixx mov
2026-08-04 13:28:05
0
Leonard@93🕊️ :
wowooooo unyama aana
2026-08-04 17:20:19
0
Aminah Dulla :
Simba hooooeee
2026-08-03 15:07:59
0
@ramadhan n_h :
Na hapa unasemaje mm mwenyew nimeweza kutengeneza Kama ww saivi ni mwendo wa AI
2026-07-25 10:01:50
87
user9708207061713 :
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-08-03 11:53:45
0
lady boss 255 :
watu weeeweeeeeeh🥰🥰🥰🥰atujawai feel na Bado Simba mikono juu watu weweeeeeh
2026-08-01 18:19:51
5
IBRAHIM DOUMBIA 🇬🇳 :
🦁 JE, MAYELE AKITUA SIMBA ATAFUNGA MAGOLI MANGAPI MSIMU HUU? TABIRI YAKO 👇🔥
2026-07-24 07:35:36
23
king man :
mtaedity weng mwaka huu
2026-07-24 14:42:26
13
EZEKIEL ELIKANA :
Uongo ndio mimi huwa siupend kabisa
2026-07-25 16:49:49
8
𝐌𝐫 𝐃𝐞𝐯𝐢 :
kumbe siku hizi simba mnaota ndoto za mchana kweri daaah mayele kurudi tanzania sio leo wala kesho poleni sana kwa hilo
2026-07-25 17:28:47
12
Cute aurora❤️♈️🥰 :
Mmmh siamini mpka simba wapost
2026-07-24 18:07:35
7
aishamussa3526 :
yaani saivi Al nyingi Sanaaa niachenii mm😁😁😁😁😁
2026-07-24 18:44:40
5
devidlory :
wa2 wajipange 2
2026-07-25 14:43:07
3
user3970012778149 :
mim mwanasimba ila hapo ni uongo 😂😂
2026-07-25 07:41:56
5
Mr Ben 💯 :
hahahhahahahhahah 😂😂😂😂😂😂
2026-07-25 08:52:36
3
muhidini josephu :
Tunawaamini Sana
2026-07-25 09:43:44
3
zungu@tiger@ :
bdo AI haujawasumbua itawatesa sana
2026-07-25 07:08:17
2
muhidini josephu :
🙏🙏🙏🙏Tunaiombea Kwa kweli Simba yetu
2026-07-25 09:30:57
2
minaa :
hongera sana mmependeza sana
2026-07-26 11:06:47
1
YAHAYA HASSANI rashidi :
sipak tumuone wan Simba wote
2026-08-01 13:34:26
1
saham💞 :
𝐧𝐚𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚
2026-07-27 09:42:01
1
Shabani Bakari :
Nashindwa kuelewa
2026-07-27 08:11:47
1
Mussa Juma :
kama ni kweli basi safi sana lakin mmmm
2026-07-31 07:08:32
1
To see more videos from user @hauleprimearenatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.