Jamani uwiih wasirudi hao kuna ndugu yangu nilimwambia atume hela tumjengee nyumba..na hela zake nimekula uwiih wasirudi jamani 😭
2026-07-24 09:32:41
6
ukhty :
karibuni nyumbani miogo ya kukaanga ndio msimu wake
2026-07-24 09:16:22
4
rama kusi :
kazi Ii ni upendo wa kpenz chetu mama Samia Asante mama
2026-07-24 08:30:37
6
@ReyNajYam :
Nashindwa kualewa🤔,
nilipata iyo habari nikachukua hadi fom, nirudi na wanangu lakini kunabaadhi ya viongozi wakanambia ni habari za uongo.
2026-07-24 10:18:43
0
GEM :
kaka msangi kuna hiyo nissanpick-up apo ukimaliza zoezi tuiyongelee
2026-07-24 12:47:06
1
issahamad00 :
sasa kama wapo wasauzi hapa Tanzania tuwafanyeje
2026-07-24 17:16:05
1
Mama boy 🇹🇿❤️🇿🇦 :
mtukumbuke Na Sisi WA durban
2026-07-24 21:41:47
0
Rukaiya Aziz :
labda kaka angu nae atarud
2026-07-24 14:27:08
0
Sami zenjibar :
home sweet home. rudini salama.
2026-07-24 09:44:14
3
Mboka Manyema :
usikubali kuachana na hii issue. nenda kafungue kesi rasmi. kisha nenda kwenye vyombo vingi vya habari uwatangaze hao wote waliokudhalilisha. Mungu atawahukumu kwa kutokutenda haki. kaka usikae kimya. hawa wamezidi kudharau maskini
2026-07-25 03:44:54
0
Princess Mulhat 🥰 :
welcome back familia yangu
2026-07-24 14:32:16
0
abdalla :
sasa inakua aje na balozi vipi kiasheria inakua aje kama watanzania hawatakiwi hapo nae balozi kinacho muweka nini na yeye kama hakutokua na raia wake hapo au anafanya kazi kwa ajili ya nani hapo ?
2026-07-24 20:06:45
0
ibra1103 :
hii inamaanisha South Africa 🇿🇦 ndio central Government ya Africa
2026-07-24 16:53:00
1
AS VIZI :
😂😂 njooni nauku basi Mpumalanga
2026-07-24 13:18:27
0
chande chande :
kwaiyo kilakitu wanaacha au wanauza
2026-07-24 17:33:05
0
Shagala one🌍🇹🇿 :
Safari njema ndugu zangu👣
home sweet home
2026-07-24 13:58:57
1
Benson H Urio :
Riding nyumbani kumenoga
2026-07-24 12:46:57
0
user9907777699909 :
juma sumbe ujampata mwenyekiti
2026-07-24 10:05:56
0
Mama H :
Wapi huko?
2026-07-24 10:35:59
0
UNIQUE STITCHES🪡 :
Kumbe wako serious ivi😳
2026-07-24 11:16:17
0
Venita Rugemalila :
asante Tanzania asante Rais wetu, asante balozi wetu kuwaokoa ndg zetu
2026-07-25 19:50:41
0
chacha :
Kwaherini
2026-07-24 14:25:10
0
Moza :
Wengine wamepata sababu za kurudi maana walivokuwa wana hela walikuwa hawtumii hata kujenga na kusaidia ndugu sasa yametokea haya ndo wamepata sababu🙄
2026-07-24 12:29:04
0
Wajobek mlawa 🦍 :
maisha akuna 🤲🙏☝️
2026-07-24 12:11:11
0
user9129283085709 :
watakaa wapi jamani namuwazia shemeji yangu😅😅😅
2026-07-24 10:29:03
0
To see more videos from user @mohamedi.msangi1, please go to the Tikwm
homepage.