@apostlemathayonnko: Hakuna kitu kinachoweza kuitikisa nguvu ya imani ya mtu anayemtegemea Mungu. Hata dhoruba zikija, moyo wako usimame imara, kwa sababu imani yako haijengwi juu ya mazingira, bali juu ya Mungu asiyeweza kushindwa. #NguvuYaImani #ImaniKwaMungu #MunguNiMwaminifu #UsikateTamaa #MunguHashindwi