Julius Mtatiro hakuwa waziri wa mikopo, alikuwa waziri mkuu wa DARUSO. Waziri wa mikopo alikuwa Bush.
Alikuwa jembe sana
2026-07-24 21:04:59
1
sengo manjani :
Hakika
2026-07-24 16:49:58
0
PROFESA MAKAME :
kweli kabix
2026-07-24 15:07:52
0
user1232024757505 :
NI KWELI JAMANI
2026-07-24 09:53:36
0
math-Guru23€ :
akika
2026-07-24 10:03:52
0
Expectation#Real= Fluctuation :
huyu jamaa anapenda kusoma na mara ya mwisho kamaliza mwaka jana pale IAA
2026-07-24 15:43:07
1
Laur Tajiri :
👍👍👍nakukubali sana kakaangu wapelekee moto.
2026-07-24 08:18:47
0
fetty d :
mbon wanaume mnakazam san hz ndoa et wenetu hatuna shida nazo siku hx
2026-07-25 04:51:47
0
Authentic Fabrics :
ndo tulivyo wanaume upendo wetu hauqngalii wewe una hela huna una degree au la 7 wanaume wengi wamatajir wasomi wameoa wanawake waliotoka family za kawaida tu ila Sasa 😅😅
2026-07-25 07:51:43
0
KANEJA MANGARU :
Ukweli hakuna familia iliyo KAMILI kama ulivyo sema,tunakutana watu wenye mapungufu wawili turekebishane na kuchukuliana mizigo ili turnde pamoja.
2026-07-25 11:52:40
0
salimajuma :
🥰🥰
2026-07-24 09:42:53
0
Kingdom plantae :
💐💐
2026-07-24 14:29:42
0
user3557114491912 :
🤣😂😂😂😂
2026-07-24 15:22:22
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.