hakika mungu yupo pamoja na sisi wanaume nakubali wazeee
2026-08-07 18:53:29
1
leilagube410 :
la hila ahila llah Anta subuhana kha ini kumtu Mina dharimini inshallah 🙏 ❤️Allah pekee ata wavusha hayo inshallah 🙏
2026-08-02 21:10:37
1
Kemilembe Kaganda :
Naomba anayefahamu vizuri anieleweshe, kwani Hivyo Viroba mara Mabegi, kiujumla kama inavoonesha hiyo Mizigo inakuwaga ya Nini kupanda na Kushuka nayo Mlimani, plz
2026-08-13 14:17:42
0
its-lee079🌸🦋💜 :
Mume wangu ndo anateseka Hvi jmn🥺🥺
2026-08-20 21:21:17
0
vanessamkamila :
kipenzi changu kumbe ndio anateseka ivyoo jamnii
2026-08-22 10:08:18
0
Matengenezo nakukubali sana br :
hawa ukiambiwa hela wanayolipwa utakimbia.kampuni inapata pesa nyingi lakini wanalipwa 150000 .
2026-08-05 11:28:22
0
Franco, Mr.traveler25 :
respect them
2026-08-16 09:03:00
0
Lawi Tzz :
nilikwepo hapo jiwe la kubusu ☺️☺️
2026-08-05 13:03:31
1
Daniel Peter David :
ni kweli kabisa tuna teseka sana ku tafuta pesa
2026-08-21 23:04:02
0
Rachel Ngutto :
dah kumbe ndo inakuwaga ivi, shemeji yangu pole sanaa
2026-08-22 14:24:13
0
Halima Omary :
nakubali wanagu wa sapray
2026-08-22 19:30:43
0
Steve Graphix :
njia ipi hii mkuu?
2026-08-20 09:20:49
0
Natalia Massawe :
baranko daaah mungu anisaidie nisirudie ayo maisha
2026-08-02 13:28:43
0
To see more videos from user @life_of_advanture, please go to the Tikwm
homepage.