daaa huyu shee mbona kama malaika tumeshushiwa wa tanzania ?
2026-07-26 04:20:57
56
BAHAATH NDAYAHOZE :
😂😂😂😂😂 unanchekesha San xheee.
2026-07-27 06:27:02
0
Sanator George X2 :
Mungu Muhifadhi Sheikh Walid kwaajili ya Taifa hiliii
2026-07-26 09:06:21
28
zaitunimussa2 :
huyo mama ndio mimi 😭😭😭
2026-07-26 14:22:59
8
MR MUTI :
sasa je bakwata acheni uhuni turudishieni sheikh wetu yule wa kututolea macho
2026-07-26 13:06:51
10
SARU COSMETICS & CLASSIC SHOES :
Yaaan nilichojifunza ktk hili ni HEKIMA KUBWA SANAAA HUYU SHEIKHE MASHANLLAH MASHANLLAH MASHANLLAH 🥰🥰🥰, maana kuna baadhi ya maderava hata kumbeba hasingembeba kwa kujiambia nimbebe nikitoka hapa naenda kuswali? KUMBE WW SIO MTUA HUKUMU WALAH,TUISH KWA KUPENDANA WALAH,ALLAH ATUSTIRI😭
2026-07-26 07:23:21
29
kheri_ scent ✨️📦 :
ALLAH Ampe hifadhi shekh walid Nampenda sana😭😭 mafundisho yake yanaweza kukubqdilisha mazimaa
uwiiiiii ni kweli sheghe wangu mungu akuhifath wewe pamoja na mimi
2026-07-26 06:09:04
18
nuulove :
Allah Akuhifadhi sheikh wetu🥰
2026-07-26 09:44:49
9
Jiyaa :
Mashaallah Mashaallah
2026-07-26 08:44:13
9
🙋🌠 alitiger 🌠🙋 :
catching
2026-07-26 09:24:55
1
mazee338 :
Kumsikiliza huyu mzee kunanipa maana halisi ya Imani ya Kiislam. Si malaika ila ni chombo halali cha Mwenyezi Mungu 🔥🔥🔥
2026-07-24 08:54:50
53
Shebby Maconcept🇹🇿🇬🇧🇹🇷 :
Yaani allah asaidie tubadilishe tabia zisizompendeza hasa zinaa
2026-07-26 17:35:09
8
mwangaza :
Wakati wa Allah ukifika hata ungekua ni muuaji dunia yote,ama mchawi Mda wa Allah ukifika na saa unaacha kila kitu na kubaki na Allah tu ukiyaishi matendo yake.
2026-07-26 09:23:40
7
Joha :
mashaallah
2026-07-26 06:03:29
6
SEHEWA JR :
SEMA ukweli japo kua ni uchungu ...
2026-07-24 10:46:56
9
TANZANIA KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
my country 🇹🇿🇹🇿🫶🫶
2026-07-24 08:53:42
7
Khadija Siwema :
allahu akbarr,
2026-07-26 10:01:24
4
aiem_zay🎀🎀 :
innaillaha maswaabirina
2026-07-26 16:35:22
3
MAHMOUD :
2026-07-26 16:53:12
1
Dhia muhammad :
😳😳😳 duh
2026-07-26 06:16:47
4
user5572704376234 :
Allahou Akbar
2026-07-26 08:58:06
3
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.