@praise.daily804: Dereva wa lori alionyesha ujasiri mkubwa baada ya kuokoa gari lililokuwa karibu kuanguka kufuatia tairi lake kupasuka ghafla. Kwa mujibu wa video iliyosambaa mitandaoni, tairi la gari lilipasuka likiwa linaendelea na safari, hali iliyosababisha dereva kushindwa kulidhibiti. Dereva wa lori aliyekuwa karibu alichukua hatua za haraka na kusaidia kulizuia gari hilo lisipate ajali mbaya. Tukio hilo limepongezwa na wengi mitandaoni, huku wakimsifu dereva huyo kwa uamuzi wake wa haraka uliosaidia kuokoa maisha. #reels#tiktokviral #tanzaniatiktok🇹🇿
Hii n AI jamn angalieni hilo contena vizuri mara ya kwanza limeandikwa CAT baadae mwishoni ni ONE😂😂
2026-07-24 10:40:54
8
❣️❣️ CUTE 🥰 SENYE❣️❣️ :
2026-07-24 12:38:04
1
Scola :
kuna cha kujifunz japo kila mtu anaongea yake
2026-07-24 11:28:17
3
amanedward92 :
kama nimekubali safi
2026-07-24 15:23:25
2
NANU AI❤️❤️ :
Amin
2026-07-24 10:46:28
1
user87014652632830 :
Safi sana madereva wetu
2026-07-24 12:41:30
2
preety :
daaah huo ni Zaid ya upendo jmn
2026-07-24 10:23:46
1
Emma boy255 :
2026-07-24 10:26:32
1
msuya :
mara gari dogo inakuwa nyeusi mara nyeupee
2026-07-24 12:40:48
1
angel :
mungu mbariki sana dereva aliyeonesha upendo dhati
2026-07-24 15:52:43
2
josekisala818 :
sana upendo nikitu muuimu sana
2026-07-24 10:20:32
1
Bruno tz :
mnatuonaje cc
2026-07-24 10:46:34
1
Marenga :
huu ni zaid ya upendo ☺️
2026-07-24 16:23:19
1
anita❣️❣️ :
upendo ni muhum sana mungu atusaidie
2026-07-24 10:27:31
1
Maryy :
ila ai jaman
2026-07-24 12:35:15
1
Rita💕 :
tunafundishwa jinsi tunapaswa kuwa ila hii ni Ai ,mwanzo kontena limeandikwa cat mara one
2026-07-24 16:04:53
3
Sophia Mgeri :
Amina
2026-07-24 18:27:23
0
Costansia John :
mpaka nimejisikia kulia
2026-07-24 17:50:00
0
Doreen Willbard :
hakika uyu dereva mungu ambariki sana😳 amuinue daima😳
2026-07-24 18:52:27
0
Smile_Hunter9🏹 :
😂😂😂 hii ni AI mwanzo contena limeandikwa CAT na baada ya apo ile CAT inapotea panakua plain na gar likiwa linapak panaandikwa ONE😂😂 na plate namba inabadilika
2026-07-24 22:01:48
0
Sophia Mgeri :
MUNGU ni Upendo huu mkubwa sana🙏
2026-07-24 18:27:04
0
Prety Vivian 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-07-24 10:33:17
1
Suzana Robert :
🙏🙏🏻🙏🏼
2026-07-24 10:03:44
1
Gee :
❤
2026-07-24 09:45:38
0
mtetezi wa wanyonge pyn :
🥰🥰🥰
2026-07-24 11:13:08
0
To see more videos from user @praise.daily804, please go to the Tikwm
homepage.