@vivy3961: Tanzania ipo nje ya mji 😅😅😅#tiktokviralvideoforyoupage💯💯 #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪

薇薇安 🌸🥷
薇薇安 🌸🥷
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 08:40:52 GMT
12304
333
53
185

Music

Download

Comments

suzzy5973
suzzy 🤱❤ :
amalize amwambie sabasaba wote tuliogopa kutoka😁
2026-07-24 13:33:12
9
husna.issa1
Husna Issa :
Maliza kulia nikwmbie matajili wte wpo katoro 😂😂😂
2026-07-24 11:36:33
8
ipopo18
Siora Fam❤ :
Maliza kulia alafu nikwambie Dar es salaam yote umeme ulikatika na mikoa mengine 😂😂😂😂
2026-07-24 13:07:57
5
iamkidoti
Milove❤️ :
hapo kwenye skukuu tunajifungia yaan daaah 😂😂
2026-07-24 11:36:27
6
queen.frank05
Mom messi🍏 :
Maliza kulia alafu uniambie ulkua unalia nini😁
2026-07-24 10:59:47
2
miss_mwiga05
miss_mwiga05 :
Kwa hizi comment naona machozi yako yanaweza jaza majaba yangu sina maji 😂😂😂
2026-07-24 15:56:00
4
navy..02
NAVY🦋 :
Maliza kulia nikuambie hatufurahii public holiday tena
2026-07-24 12:55:29
2
bossmom07
BOSS 💫MOM💦 :
Maliza kulia nikwambie tulio zaliwa 7/7 hatukuweza kufanya birthday party tulifungiwa ndan 😂😂😂😂
2026-07-24 17:29:32
0
lizzybassong
lizzy bassong :
ila hii ya vita niliumia sana nakuja kujua km kuna VPN Siku ya 3 na hakuna Internet 🤣
2026-07-24 17:35:10
0
rebeca.jackison
mwa'anike o ntunzu :
maliza kulia halafu nikwambie mwezi Oktoba TikTok tulikuwa tunaingia na VPN 😅
2026-07-24 17:02:04
0
queennanah11
queenanah♉️ :
Maliza kulia tukwambie mshindi wa bss katokea uganda😂
2026-07-24 10:41:59
7
felistermarcely
felistermarcely :
Malizia kulia tukuambie Shehe Walidi sio Shehe wa Daslam😂😂😂
2026-07-24 12:40:42
2
winchi.boy1
jay boy :
maliza kulia nikwambh kua rais wa zanzibar samia suruhu ndo rais wa Tanzania
2026-07-24 12:34:16
1
userlovenesslibe
lovelylibe :
maliza kulia nikwambye Handsome wa Dunia ameowa 😬
2026-07-24 12:30:42
1
sheraan_tz
Miss Dolli🍂 :
Amalize kulia tumwambie saiv tunasubiri IPhone 18😂😂
2026-07-24 12:21:18
1
pee_mimi
ms_mimi77 :
Malizia kulia tukuambie vivi anachokifanyaga kazin kwake 🤣🤣
2026-07-24 09:42:58
1
msellesambarai
MICHAEL MSELLE 🤖 :
Maliza kulia nikuambia baada ya simba kukosa ubingwa mara tano wakaamua kwenda kuharisha na kunya jangwani
2026-07-24 16:44:43
0
sundaympg
sunday_mpg :
Maliza kulia tukwambie Chalamila hataki gari no A zitembee mjini 🤣
2026-07-24 16:45:42
0
bossmom07
BOSS 💫MOM💦 :
Maliza kulia nikwambie diamond kaoa na mke wake ni zuchu 😂
2026-07-24 17:28:29
0
bn84304
@bn :
malzia kulia nkwambie zuchu nae kajifungua
2026-07-24 17:37:29
0
dizomont
🦋FIFI🦋🌸🩷⚖️ :
Maliza kulia nikwambie jumalikole alitaka kupigwa na dudu baya 😂
2026-07-24 15:55:42
0
samwelkavishe200
Samwel Kavishe :
Amalize kulia tumuambie tunalelewa na mama wa kambo
2026-07-24 16:43:50
0
sheglowswithwinnie
Winnie | Self-Love & Faith :
maliza kulia nikwambie sikuuu za siku hiz ni tunasherekea ndani maan tunalindwa😏
2026-07-24 14:11:19
0
To see more videos from user @vivy3961, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About