@ms.gloria05: Weekend hii jaribu kupika Pilau hili la Nazi utanishukuru 🔥 Ukipika pilau hii ya nazi hutatamani tena kupika pilau ya kawaida maana utamu wake hauelezeki 🔥🔥🤭 Kwa ladha nzuri na halisi, Tumia NAZI YA ASILI 🥥 Viungo vyangu vyote ni kutoka @neahdee❤️ #creatorsearchinsights #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp #foryou
weka video live we download it...anyway mapishi poa adi nimependa
2026-08-29 00:50:38
0
T❤️❤️❤️ :
sikuizi pilau lishashuka samani mpaka kutia nazi jamani
2026-07-26 14:17:19
209
essy collection55 :
Naomba kuuliza foil inasaidia nini?
2026-07-24 14:04:17
272
Jaclyn🇰🇪 :
u are ruining the authenticity of pilau, u are adding too much stuff
2026-09-15 11:04:00
1
Husna💕 :
Pilau linaweza kua Tamu sawa ila ukitafuna kidogo umekutana na iliki sijui vitu gani daaah Ina kwazaaaa yan mimi nitafune nimeze maswala ya kuanza kuchambua mdomoni siwezi aiseeee😁
2026-09-10 13:36:07
14
Tina Tosha :
pilau ya nazi niliona pilau ya sukari bado chai ya nazi na masala
2026-07-26 07:17:16
15
gladly✨ :
na hiko kijiti chann🥺
2026-07-25 18:16:35
6
zurayna :
me niwe mkweli 2 pilau ukiweka tungule tu silitaki tena 🤣🤣🤣
2026-07-26 05:34:04
36
she_s_tynah🌹 :
sufuria zinachachisha izi iv kwanini
2026-07-26 16:36:05
9
Iam Mary 🌻⚜️ :
Toka asubuhi sijala hafu nyumbani wote wametoka 😋
2026-07-25 09:37:45
82
Shuu :
Kumbe ndo maana wengne wakila pilau wanaharisha mambo Ni mengi mnoo
2026-07-27 16:42:48
69
__thee crafty__. :
nani anataka paste ya garlic n ginger kama dada yetu aliotumiaa hapo🤭🥰
2026-07-24 14:59:10
24
Raon🌹 :
leo ndo nimeona pilau la nazi 🤔🤔
2026-07-27 10:26:43
25
kabo❤️ :
viungo na gesi ninavyo Nyama ndo sina🥺😪
2026-07-27 13:05:37
11
Star✨ :
Next time weka na kijiko kidogo cha sukari, utanishukuru badae
2026-07-25 12:01:15
17
It’s wny05 :
Ficha pilau lako… Diva ni mwizi wa pilau za watu😅
2026-07-25 17:49:55
10
SWEET DREAMS🍀 :
Daah..nime gundua wanawake wengi hawajui kupika kwa comment zenu😁