mbona mwekezaji kutoka nje anapewa free tax miaka mitano, kwanini?
2026-07-24 19:55:10
13
Narrow b. Philipes :
MI HUWAGA SIELEWI KWANINI SISI MAWAKALA TUNAKATWA KODI KWENYE KILA MUAMALA TUNAOFANYA NA TRA NA BADO TUNAFUATWA ET TULIPE NA CJUI ZA NN UKO TAKATAKA BADO LESENI SI WIZI HUOO
2026-09-11 14:02:22
5
Aristidi Mrema :
nimeshafilisika nilichobaki
2026-08-27 18:56:16
1
Yuso367 :
kwani huyo ni machungaji au wazir?
2026-09-11 14:49:06
0
Jabiri Ngandule :
kuwatia lawama tu watu wa TRA.
wao wanatekeleza yale walioambiwa, kikubwa wabadilishe sheria na sio Matamko tu.
2026-07-24 18:16:35
12
user24024190945116 :
Serikali ya mama Samia inahuruma sana na wafanyabiashara.
MUNGU amjaalie afya njema na maisha marefu Rais wetu 🙏🙏🙏
2026-07-27 06:39:24
3
@double "H"collection. :
kwa kuanzia sio mbaya ,
lakini mwaka mmoja kwenye biashara bado , biashara haiwezi kukomaa ndani ya mwaka mmoja.
angalau watoe miaka mitatu .
2026-07-25 14:10:14
6
mswiswi :
hata serikalini ukiajiriwa usitoe Kodi mwaka mmoja