Heee kuna mkaka alikuaga ananipenda mstaarabu vibaya mnoo Ila alikua mkristu na rafik angu alikua ana crush nae nikapambana nikawaunganisha wakaanza kudet mwisho wa siku wakaoana baada ya ndoa huyo rafik angu alonipigia cm akaniambia hataki kusikia naongea na mume wake nitafute wangu sina ham nae hadi Leo😂
2026-07-24 10:41:11
37
Yusra_Eva :
Big point 🥰💋
2026-07-24 10:27:43
1
rEe45~@🐾🎀♓️🐬 :
Fact statement 🔥🔥
2026-07-24 14:37:48
0
JulaidaShayo3 :
Kwelii kbsa
2026-07-24 09:21:09
43
chantiana Doris :
nakupenda Ku toka congo
2026-07-24 09:08:32
10
DEE👽 :
fact
2026-07-24 09:04:42
2
farhia :
mmmmh mwambie direct akome
2026-07-24 09:11:52
3
@Pavvy~~~🫧🦋❤️🔥 :
Umeongea kwa uchungu Sanaa inaumiza 😔😔
2026-07-24 09:55:46
18
Mrs 𝑏💞 :
Nakupenda bure batuli
2026-07-24 09:39:57
3
reneenaturalhairclinic :
Hakika 👍
2026-07-24 09:54:37
1
Jakii MOBILE :
Unakuta anamwambia Yule dem humuwezi 😂😂 Umeulizwaaaa!!!???😳😳😳
2026-07-24 11:54:27
12
vaneca :
😄😄ÿani wewe
2026-07-24 09:08:25
0
Failuna :
mmwaah...umeongea kumahisia jmn
2026-07-24 10:40:12
1
Arafa_Mchuchu_♣️👑 :
ni ukweli❤️
2026-07-24 11:06:45
1
lucy :
mm Kuna Mtu alinitaka akamfata rafikiangu alicho jibiwa ilibidi anikujie mwenyewe
2026-07-24 13:37:53
1
Christiner Kibona :
ilaa
2026-07-24 09:22:13
0
Shukran john mhagama :
tushaharibiwa sana😁😁
2026-07-24 11:11:39
2
cute_zey02 :
Moja Kwa moja status 😂
2026-07-24 13:04:17
3
Rahma baby :
leo nime wah nime kuwa wa 7
2026-07-24 09:14:01
2
nino❤️ :
Ndioooo
2026-07-24 12:44:15
1
To see more videos from user @batuliogg, please go to the Tikwm
homepage.