@gift_package1: #creatorsearchinsights tunakufata popote kwa garama za mteja#typppppppppppppppppppシ #tiktokviral #trending #trending

Ninoh gift store
Ninoh gift store
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 09:03:02 GMT
173009
6311
1032
2130

Music

Download

Comments

dianamangwangwa1
Didiy :
Hapo ndio ingekuwa siku ya mwisho kuniona
2026-07-24 15:00:55
223
bei_chee_cosmetic
Bei_chee_cosmetics :
Ningekula cake nikasema happy birthday to me
2026-07-24 15:25:16
152
anniebeauty44
anniebeauty44 :
Kalala kwa ambae hajaingia gharama ya maputo
2026-07-24 23:58:10
158
onestacassian
sheisonester :
My king kaenda kwenye kingdom yake 🤣🤣
2026-07-25 07:08:42
51
mamagswax
Vyombo vya kishua swax :
bora mnamda mm mda uo sina ela zangu zina vitu vingi vya kufanya
2026-07-24 15:02:37
109
deejaah5
khadija✨ :
wifi yangu alifnya kitu km hicho na kaka hakurudi tuliumia wallah inatia hasira
2026-07-24 14:08:45
69
being_pretti3
🎀MSICHANA🎀 :
Cake imeandikwa my king😂😂😂
2026-07-25 06:13:45
15
kushany21
it's kushy :
😂😂😂 inachekesha kama sio ww yalinikuta haya💔
2026-07-24 14:58:03
39
minah_nyange
Minah Nyange 🦋♥️🔐 :
Yani mimi napigia picha najishoot keki nakula na chakula nakula alafu napost naandika thanks mubaba wangu atajua mwenyew bhan 😂😂😂
2026-07-25 09:36:50
50
qytbeybe
Juju🦋 :
nakula bange zang napiga msosi kunywa wain nalaa kitoziii
2026-07-24 15:57:00
10
jaz_beautystore
jaz_beautystore :
Tatzo mnafagiliaga sana mambo ya mapenz💔😂
2026-07-24 15:35:18
8
itsdee901
it's dee🎀🧸 :
hii kitu ilinikuta sku ya valentine guys inaumiza Sanaa 💔
2026-07-24 20:40:19
6
innamorata619
innamorata619 :
ningeit marafik tukal keki zawad ningempa kak angu tunge enjoy veep m ndomaan sipend kuw mjuaj kweny maish ya wanaume
2026-07-24 16:29:58
16
dazzling__nayda
Dazzling🥰 :
angenirudshia kwanza hela yangu alafu mengine yangefata
2026-07-24 19:55:09
6
lucyadam12
Double L collection :
Kuolewa sio kupendwa jaman 🤣🤣🤣
2026-07-25 05:24:47
6
zamda0166
zamda :
Tatizo lilianza kupamba na Maputo meusi😂😂(joke)
2026-07-24 18:49:20
11
ukht_saarah
☘︎ساره☘︎ :
Ukweli ni kuwa ukihitaji furaha maishani hasa kwenye ndoa learn to dance with rhythm, yaan kama sio wa hayo mambo usilazimishe. Kama hajali na ww fanya kama umesahau hata kama unakumbuka
2026-07-25 04:17:21
20
lady_didi0
didi💛 :
Ningepiga picha nizieke for my next birthday ningekula cake ningekunywa nipumzishe moyo for the day alafu naenda lock chat sasa kumpandisha bamtu mwingine cheo 😁😁😁
2026-07-24 19:06:57
17
babyhawa09
𝐇𝐀𝐖𝐀𝐋𝐋𝐀𝐓𝐘❤♊ :
Na vile decor ni black napost nikifurahia am single😂🤣 live linaendelea
2026-07-24 12:56:24
15
agatha_imani
Agatha_Imani❤️ :
Alienda kwenye birthday yake kwa mpz wake wa rohoni
2026-07-25 06:16:25
7
mwana5755
mwana🥰 :
Yalishanikuta mm
2026-07-25 23:34:51
0
mashukamazuri0
Anney :
Hiyo Bei kila kitu kwako!?
2026-07-24 22:14:25
0
To see more videos from user @gift_package1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About