@esha.buheti: Biriani iko tayari....karibu sana kwa chakula kitamu @buheti_houseoffood #mpishiwataifa #unachotakatunataka #pishiladaesha . Tunapatikana Kijitonyama, nyuma ya kituo Cha Polisi Mabatini. 🛺 REQUEST KWA KUANDIKA BUHETI HOUSE OF FOODS 🛵 Pia tunafanya Delivery kwa gharama za mteja. 📞 TUPIGIE #0747231025 #0717624992
Esha Buheti
Region: TZ
Friday 24 July 2026 09:05:25 GMT
Music
Download
Comments
sharifa mpunga :
unapika ww dada mashallah apo shemej ashindwe yeye
2026-07-24 20:25:58
0
Maasai48 :
location
2026-07-24 15:35:37
0
RIMMON soleil :
I will visit tanzania just for to have a plate at your work place sis♥️♥️♥️
2026-07-24 17:08:42
0
p :
we esha weee🥰
2026-07-24 16:53:08
0
halimaabdala670 :
dada yangu leo mzima umepona nasikia sauti yako vinzuri
2026-07-24 09:10:50
7
BM_FURNITURE :
kwaio kiasi gani kwa vitu vyote ivi?
2026-07-24 12:27:18
2
zulfitajebby :
mashallah Mashallah
2026-07-24 09:13:25
3
Tynah✨🦋 :
Mim hapo kambare wa nazi kisamvu ubwabwa ningekula jamani😁
2026-07-24 12:13:27
1
asiya☆ :
mko wapi
2026-07-24 18:56:01
0
mnk :
salut...🫡 Esha bin Buheti👏
2026-07-24 17:42:37
0
Rashid khalifa abdallah :
Birian kuku shingap
2026-07-24 18:04:17
0
Visusi Hassan :
maashalaah
2026-07-24 20:14:34
0
💞 shaksiy :
nataka no yako
2026-07-24 18:23:30
0
ninomsa :
sasa mimi dah sijuu nile kipi niache kipi 😂
2026-07-24 18:20:28
0
leyla :
mboga pambe hatalii
2026-07-24 15:57:27
1
Mamaa Azizi :
Dad unajua kupika jmn ongela
2026-07-24 16:19:33
1
Habiba athumani :
eshe kiboko.kwakweli.dah so kwa.msosi.huo
2026-07-24 14:22:25
1
honeybaby%official95 :
hivi kambale mnapakuaje jamani
2026-07-24 12:40:59
1
zenats :
Wajua kupika ww atar me napenda mlenda na maharagwe yako huwa matam sana jaman kaonjen mtaniamin😋
2026-07-24 12:26:31
1
Mamumzuri😘🦋 :
Unajua kupika jmanii hongeraa
2026-07-24 17:10:19
1
Getrude Marko :
Nampenda sana huyu dada unajua kupika bhana sema tuu upo mbali sana , Ila ndo hivyo, Hongera kwa chakula kitamu walioko karibu wanafaidi sana.
2026-07-24 18:00:55
0
MARTHA PAUL :
me ninavyopenda kula ntakuja Tu one day
2026-07-24 17:53:28
0
mnk :
esha unafanya delivery.. order ya watu kama 20
2026-07-24 17:44:38
0
🧕🏽 :
Usafi 🥰
2026-07-24 19:49:30
0
To see more videos from user @esha.buheti, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.