@atuganilemwakosya: MSIFANYE IBADA ZA KUKEMEA WACHAWI, MNAPOTEZA MUDA? 🤔- APOSTLE NDEGI Kauli hii imezua mjadala mkubwa miongoni mwa Wakristo. Wapo wanaoamini kuwa nguvu kubwa inapaswa kuelekezwa katika kumhubiri Kristo, kuwaleta watu kwenye wokovu na kuwafundisha Neno la Mungu, badala ya kutumia muda mwingi kukemea wachawi. Je, unakubaliana na mtazamo huu? Toa maoni yako kwa heshima na kwa kuzingatia mafundisho ya Biblia.
efeso (6:12)kushindana kwetu si juu ya damu na nyama bali katika ulimwengu wa roo kwaiyo bibilia inasema uongo? au kiki
2026-07-24 13:40:55
10
DENIS LIKOMBILE :
kwa kuongezea; Yesu mwenyewe roho ya MUNGU ilikuwa ndani yake lakini bado shetani aliweza kumjaribu mwishowe akamkemea.“Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
”
— Mathayo 4:10 (Biblia Takatifu)
2026-07-24 16:44:40
3
Getentan Johnson :
tht is not doctrine, but from scripture resist the devil will free from you
2026-07-24 11:42:49
3
Martha tz :
kabisa past, mungu yupo ndani Yangu hakuna baya litakalo Nikiuta, mungu yupo ndani Yangu, ana jishugulisha na Mambo yangu, Amina sana past nime kuelewa sana, mungu akutumie sana, wachache wata kuelewa 🙏
2026-07-24 18:02:31
1
Bwakilah 😂 :
biblia inasema mpigine shetani nae atawakimbia sasa tunampigaje kama siyo kwa maombi na kumkemea?
2026-07-25 09:49:25
1
KITHY KOMBE Official 🇰🇪 :
Waambie kweli
2026-07-25 13:49:15
0
Emmanuel Samwel :
hii mpy kwa mtumish nadhani muda wa kutosha wa kuyasoma maandiko uwepo mana yapo maandiko mengi sana Kila mtu apambane na huduma aliyoitiwa
2026-07-24 19:15:36
1
ayoob :
kwel mzeee
2026-07-25 09:45:05
0
Papa Élie :
Yes yes yes, yeeeeeeeees
Amina kubwa mzée wangu
iyi ni kiwango kingine kikuu saana cha imani,
ila wengi hawata ku elewa mzée wangu,
kwa msemwa mwingine, wachanga ama wa level ya chini, hawata ku elewa hapo mzée wangu .
Alléluia, YESU KRISTO aku inue na kuku pandisha level saaaaaana
2026-07-25 21:19:57
0
Celina Scoper :
mtume paulo akikuangalia anasikitika unavyo mpinga na zile silaha alizotaja kwenye waefeso hazina maana.
2026-07-25 07:49:41
0
Queen li :
mi nakubaliana na wewe
2026-07-25 09:57:51
0
Musa daprins :
kwli kabisa pastor
2026-07-25 14:36:49
0
Maadam Eva :
mbona Yesu alikemea pepo mgerasi??
2026-07-24 19:58:17
0
Meshackndendya shujaa :
mmmmh haise tukazane kusoma maandiko
2026-07-24 18:56:34
0
Chrs :
kukemea ni lazima kama wewe huwez kaapembeni
mungu yuko ndani yangu na shetani yupo ndani ya watu kukemea ni razima Mungu ni roho na shetani ni roho
2026-07-25 09:02:26
2
Lillian🌸🌹🇹🇿 :
Ila Jaman Naomba usome andiko yakobo 4:7 utapata majibu 😳
2026-07-24 19:10:17
0
grace japhet :
huna taka wachawi wawepo wafe hatutaki
2026-07-24 11:44:59
0
Bwanashamba :
HAPA HAPANA.
KILA MTU ANA PAMBANA NA VITA YAKE HATULINGANI TUNATOFAUTIKANA AINA YA VITA, VIWANGO, UTHABITI WA IMANI, KIWANGO CHA USAAFI CHA MADHABAHU, AINA YA MADHABAHU MAKANISANI etc
2026-07-24 18:09:54
2
Kapele Mzee :
kweliii
2026-07-24 12:54:46
0
Obey :
sio kweli?
mataifa makubwa yenye uchumi yanaungana kuwadhibiti mataifa yasio na uchumi mkubwa, yanawapangia nini chakufanya,
2026-07-24 13:27:09
0
NABII FUNGUO KIG SULE :
shetani ali muigia yuda
shatani ali mpiga ayubu
shetani aliwaziwia pauro tunaubili kwa sababu wachawi wapo
2026-07-25 23:39:18
0
Elieka :
mtumishi Mimi ni mtumishi lakini ninajua shetani kuliko kufa wachawi wote ulimwenguni Kwa jina kuuu la yesu kirsto Mimi Sina chochote ila ninayesu kiristo aliyekufa na kufufuka
2026-07-24 14:37:30
0
Jitu la mbinguni ☝️ :
ila si vibaya na ukosahihi lakini uongeacho ni fikra binafsi lakini tambua hilo ni jeshi kulishinda lazima upigane vita kunamahari kufika yahtaji vita ili umeiliki, uketi ufike maana nguvu zipi hizo kwan level nawao wanalevel hiyo nguvu ya level ipi? mambo ni mengi mda ni mchache
2026-07-24 12:09:33
0
fgckbethelsyombandu :
Tutawakemea mpaka ulie machozi
2026-07-24 19:50:35
1
karebo :
mpole sana imeandikwa usimuache mchawi akaishi we kama una acha sisi tunakeme uchawi na kuharibu uganga wote wa mashetani moto fanyaaaa 🔥
2026-07-24 10:54:53
3
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm
homepage.