@maasaidawa0: Ukitaka kuishi maisha marefu: 1. Fanya mazoezi mara kwa mara. 2. Epuka kula usiku sana. 3 Punguza msongo wa mawazo (stress). 4. Usipuuzie dalili za magonjwa, wahi kupata ushauri mapema. 5. Kunywa maji ya kutosha na ishi kwa mtindo wa afya. Afya njema huanza na maamuzi madogo ya kila siku.
Maasai Herbal Clinic
Region: TZ
Friday 24 July 2026 09:30:33 GMT
Music
Download
Comments
robertstanley436 :
dawa ya acid reflux
2026-07-24 17:49:12
1
Lastborn_tz :
kitu kimoja kuhusu masai dawa ana lugha nzuri sana, jwa wateja wake
2026-07-24 16:45:01
2
MEKU✝️😂 :
Dr. Kimani hakika kila siku unatupa elimu nzuri sana akwenye group lako🤝
2026-07-24 17:41:01
2
Nameless Doctor 😷 :
Kumekucha sas kama mmasai anaijuwa stress ww je😁😁😁
2026-07-28 18:56:47
0
yaredkabati :
ningeshangaa sana masai ahesabu mpaka 5 bila kukosea
2026-07-28 20:12:41
0
HEMED OMAR :
hayo maneno ya mwisho nda nilikuwa nayasubiri😂😂😂
2026-07-28 20:39:39
0
mr mkongwe :
Masai wa kizazi kipyaa
2026-08-07 18:44:19
0
samadon.b52 :
we soma coments na utujibu bana tumeuliza masu'ali Hakuna majibu
2026-07-26 10:49:18
0
Regina Urassa :
naomba dawa ile yakunywa usiku masai nipo dar mvuti
2026-07-25 17:42:26
0
Imason John :
😭😭😭Dawa ya UTI auna
2026-07-25 18:11:42
0
Denis Ngolo :
sawa masai
2026-07-25 13:54:57
0
jid boy :
2026-08-14 10:00:32
0
Bin Marik :
Bluce Lee yupo wap
2026-09-12 23:19:03
0
@yonahedward545 YOUNG Xxx tent :
naomba namba yako
2026-08-08 14:56:47
0
SHAKASOA :
punguza bei za dawa
2026-09-12 13:18:40
0
DOUBLE A MABANGO DODOMA :
2026-07-24 14:37:29
0
Sneiper😷 :
kabsa mkuu
2026-07-24 13:14:11
0
Imason John :
😭😭Dawa ya HPV na HSV
2026-07-25 18:12:08
0
Mvamba Tz◇◇💧❄️ :
wameshafika hadi uku kazi ipo
2026-07-29 18:00:13
1
To see more videos from user @maasaidawa0, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.