@nijuzenews: Dk Nchimbi: 'Pambaneni mpate Katiba Mpya. Komaeni hapo' Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, ameyasema haya mapema leo Julai 24, 2026, kwenye mkutano wa 15 wa mwaka wa THRDC uliofanyika Mlimani City, Dar es Salaam. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u