We acha tu Oscar yani hapa nilipo nimepoteza mwelekeo
2026-07-24 15:21:00
48
Ar Ally :
Hapana mim nakataa msifanye watu waone kuingia kwenye ndoa ni kama kuingia gerexani
ndoa inaweza kubadilisha maisha yako kabisa wapo wengi tunawaona maisha yamekuwa Mazur baada ya kuoa
Mara nying huwa nasemaga mtu anasema anataka apate mtu aliyetulia ila yeye hajatulia na hapo shida na matatizo huanzia hapo.
ukitoka kwenye mfumo wa mungu jua kabisa hauko salama kabisa.
Ndoa ndio mpango wa mungu na Kuna kheri nying kwenye ndoa Lakin zingatia kheri huazia kwako wew mwenyewe
2026-07-24 19:53:29
30
neemasilvester523 :
acha kabisa kaka Mimi niliacha Kila kitu na nimepoteza mda wangu mwingi najuta sana
2026-07-25 04:44:36
20
🫧Bebgurlie🥥🤎 :
I’ll marry once and marry right inshaallah
2026-07-25 05:10:47
0
lety :
Sasa nifanyaje ety nisiolewe nifanye kazi angu
2026-07-26 16:53:16
1
kunajoto.001 :
someone is taking notes😂
2026-07-25 13:34:19
0
Rebylove🥰🥰 :
😭😭😭😭 naweza pata kiti nikae jamani nilie kwanza😭😭😭
2026-07-24 20:30:46
28
mamy sss :
yan jmn hata sielew kabsaaaa nimeshachanganykiwa
2026-07-24 15:55:15
7
HAJI KOMBO :
izo taarifa zipuuuuzwe hamchagui watu sahihi
2026-07-24 22:14:20
5
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Ukiendekeza hisia lazima uje ujute baadae ndoa sio mbaya ubaya unalewa na hisia nyingi na sio akili
2026-07-25 11:11:46
4
brightofficial_04 :
Ko tusioe 😳
2026-07-24 12:36:52
4
maphita 0G💯💯 :
kabisa mm nimepoteza
2026-07-25 04:25:06
6
money :
mimi mienzi 3 bas kweish
2026-07-25 14:43:32
2
honey :
kama unanisema
2026-07-24 18:37:56
7
Lela Isambe :
kwl jamani
2026-07-24 15:50:55
5
Bint chiccotz1🇹🇿 :
Kweli kabisa
2026-07-24 18:37:33
4
mom :
kwel kabisa 🥺
2026-07-24 20:42:08
2
Zam two 🌹 :
Mimi ndoa ilinirudisha nyuma sana
2026-07-26 16:39:26
1
betty 🌸 :
Kwel kbc
2026-07-24 17:36:26
4
To see more videos from user @factzakitaa0, please go to the Tikwm
homepage.