mm nna mwanaume ambaye n pacha, ila wallah nnaletewa ndoto huyu nliye nae co. halafu naambiwa yule kulwa wake ndo ananifaa mm ila nmechukua maamuz ya kumuacha huyu niliye nae
2026-07-24 16:43:04
1
Food products :
napokea
2026-07-24 15:29:01
1
MWANA MCHOLI 🥰 :
ALafu kipenzi jini mahaba ananisumbia sana hivi uyu jini hajui mie ni mteule jamani
2026-07-24 11:04:54
1
Mr.EASYLIFE 🇹🇿 :
Kiukweli mahusiano yanatutenga au kutuweka mbali na kazi zetu tulizoletwa tujetufanye hapa duniani.
2026-07-24 10:27:05
1
Dorkas Sekana :
umependeza
2026-07-24 10:54:39
1
Ally :
nimekuerwa
2026-07-24 18:34:49
0
melsa :
mimi nilijifanyia maamuzi tuu ya kuwa pekeangu kwanza nifocus na pesa & Mungu baaaaaaaaasi
2026-07-24 16:22:05
0
GALWENZE :
umependeza
2026-07-24 10:23:09
1
KANEJA MANGARU :
Nikiwa single nafanikiwa,nikijichangaya nikawa na mtu napambana sana kupata.
2026-07-24 18:01:38
0
Hadija Mahimbo :
sawa mama mkwe nimekuelewa sana
2026-07-24 17:56:19
0
ayesha :
Mimi nina miaka kumi sasa Sina mahusiano😂😂😂
2026-07-24 14:56:29
0
Shamsia Omary :
nimecheka kwa sauti leo umeniongelea mimi
2026-07-24 16:32:34
1
SSS The Messenger! :
Mimi nilikata tamaa😆! Nakupata vizuri tu from Nairobi Kenya
2026-07-24 17:32:16
0
sis B :
Mi mwanaume alinipeleka kwao ,wakaenda kuangalizia cjui huko kimila wakanikataa eti wakasema ni mchawi na nilizaa nae mtoto mmoja whooii sitamani tena mahusiano niko single singular😂
2026-07-24 16:10:44
0
Prettyyasmin :
inanihusu
2026-07-24 15:23:43
0
KANEJA MANGARU :
Mimi nikiacha kukutana kimwili huwa napata mema ata niyoyatafuta,nikiwa na mpenzi au mke tukagombana au akininunia sipati ata nitafute vipi.
2026-07-24 18:00:57
0
KANEJA MANGARU :
Najiona ni mimi kabisa 😂😂😂
2026-07-24 17:57:10
0
MWANA MCHOLI 🥰 :
nimekuuliza sana dada angu uyu choose one anaweza kuwa tajili au yeye ndo masikini tuu na kazi ya kuajiliwa vipi nini u naomba
2026-07-24 11:02:15
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.