@kanikibrown: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema endapo angepata nafasi ya kutoa neno moja la mwisho kwa Watanzania, angewataka wapambane ili kupata Katiba Mpya. Akizungumza leo Julai 24, 2026 Jijini Dar es salaam katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Balozi Dkt. Nchimbi amesema mjadala wa kupata Katiba Mpya umedumu kwa zaidi ya miaka 40, huku vuguvugu la kuitafuta likianza mwaka 1992. Amesema Serikali ya Awamu ya Nne ilianza mchakato wa Katiba Mpya, lakini changamoto iliyojitokeza ni kuwa madai ya Wananchi yalikuwa mengi na yalihitaji kushughulikiwa kwa pamoja. “Kama nina kitu cha kuwaambia Watanzania, ningewaambi pambaneni mpate Katiba Mpya itakayodumu miaka 50, yenye mwafaka katika Taifa, itakayotupeleka mbele miaka 50.” #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”
Kaniki Brown
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:13:16 GMT
Music
Download
Comments
thesaed2022 :
Psychological warfare, or Chicanery.
2026-07-24 12:09:41
0
BEA SIMBA :
in god we trust
2026-07-24 13:56:05
0
Bakhsheshe@tz :
hii nimichezo,and we know it.
2026-07-24 15:48:02
0
user16807029519095 :
Very goo
2026-07-24 11:03:45
0
user9421822871173 :
A I
hiyo
2026-07-24 15:55:21
0
MGOSI23 :
CCM Huyo anacheza na akili zenu Tu hapo. Hawawezi kutupa KATIBA. Yeye si Rais hamjiulizi kwann anasema tukashinde vita vya katiba. Maana yake mkapambane Naye awape KATIBA MPYA
2026-07-24 11:10:32
14
user3166180033598 :
waooooo umebaki peke yako unae ongea ukweli mtupu
2026-07-24 11:58:38
7
Joseph Malidadi :
mzee kanywe soda nalipa🥰
2026-07-24 10:46:48
13
emmanuelkajange :
Huyu ndiye tuliekuwa tukimsubiri?
au tuendelee kumsubiri?
Emmanuel mwana wa Tanzania bwana yu juu yako atakufanya njia ya uokovu kwa jina la baba na mwana
2026-07-24 11:24:10
7
futurecivics :
huyu ndio anaitwa yuda au nielewesheni.
2026-07-24 11:19:20
7
But.......💔 :
Wacheni ujinga wa Tanzania huyu katumwa ajifanye yupo pamoja na wananchi ili aonekane anatutetea ili mjemumchague 2030 halafu akishakaa kwenye kiti anakuja kufanya kushinda alio kuwepo hao wote kitu kimoja hawawezi kuwajali citizens😁😁
2026-07-24 11:41:06
2
LUKAS :
hongera sana kiongozi
2026-07-24 10:21:29
8
Robson :
mzee unakunywa soda Gani nakuja kulipa kunywa Ile kubwa
2026-07-24 10:47:43
9
John chacha :
ukosawa mzee we unastahili kupewa nchi
2026-07-24 12:27:31
2
E p Netanyahu :
nchimbi hapendi ujinga wa kuteka na kuuwa watu
2026-07-24 11:20:54
5
Joetiptop :
apa ndo na amini yale maneno ya polepolee
2026-07-24 11:21:09
3
Salome chimomo :
yuda nipo na wewe
2026-07-24 11:22:25
3
Tanzania kwanza :
tukapambane nanani
2026-07-24 11:31:45
2
jumaisingo :
raisi c huyu sasa
2026-07-24 11:19:41
2
user1435930029744 :
mipaka iko waz zingatia neno pambaneni
2026-07-24 12:37:46
4
paulo 0752253515 :
neno moja tuuuui 🙏🙏🙏🙏
2026-07-24 10:41:04
3
Jay's -home-decoration :
ila swali linabaki tukapambane nan na ni Nan analeta katba ndo tupambane nae hii ukifikilia inachanganyaa
2026-07-24 11:19:38
2
wokamaniihizo :
kabla Jogoo hajawika Yuda alifanya yake
2026-07-24 12:00:16
2
bakarishabani4 :
yaani kiupole kabisa kama shekhe waridi vile.watu kama hawa ni wachache sana
2026-07-24 11:31:58
1
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.