@gcangel1: MAOMBI

Apostle GC Angel
Apostle GC Angel
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:15:03 GMT
40412
2890
123
643

Music

Download

Comments

edgar.eli2000
Diploma_Holder :
Sasa basi heri niwache kuingia kwenye ndoa,sababu hawa watu hukasirika vitu vya upuuzi sana
2026-07-24 17:24:41
9
ruhunicatz
lilly kilimanjaro :
mm nakutana na hii clip nikiwa nahasira mno yaan mtu amerud mm naumwa mtoto kachomwa namwiba wasamaki umekwama kwenye koo nimejrb kutoa ikashndikan namuomba ampekeke hospitl mtoto maana anaumwa anapitiliza ndani kwenda kula ameniacha nje kunamashemej wajirani hp wamejrib kunisaidia kwauchungu lkn babamtu karud nakuuliza nakuingia ndan kupakua chakula nakula ananiambia mm ndy nimpelek hospitl mtoto roho imeniumasana nikamuomba mungu nisaidie niwez kumtoa mtoto wng huu mwiba wakoo nimeingiza mkono kakijana kangu moses kamiaka mitatu kamevumilia vidole mungu akanisaidia ukatoka mwiba mrefu niseme tu ht jiran zng wamebk mdomo waz kuona baba asiyenahuruma msichanawng anasema baba amrmeenda kula kile chakula alichoshindwa kula moses nalirelax kbs ila ingekuwa nihuyu bint yng babayake angekuwa ashamtolea mwenyew nauzunika sana ukimuona huyu kijana ni copy yahuyu baba jmn lkn nimeshngaa kutokuumia ht damu yake inatesek nimekasirika sana naht mm ni mjamzito lkn hmn kitu ananisaidia ht kuchotamaji naanajua ninamatatizo nimezuiliwa kubeba vitu vizito kunamuda yaan namchukia sana roho yng imemchukia kbs kunipiga wkt wa mimba yamose nampk sasa ukimuuliz kitu kakukosea anakupiga ht kama upo ktk ujauzito naomben ushaur syo vizur kutoa sir ya ndan lkn mm yamenifik shingoni nisipouliza sumu haitatoka kwenye moyo wng mm simbarik mda mwingi huwa namlaan maan naona kilamara nimtu mwenye roho mbaya automatic hawez kubadilik
2026-08-01 19:25:11
4
user13424391736503
baby kayra :
Ninae hapa anahangaika mashariki na maghalibi lakn waaapi namuangalia tu 😁😁
2026-07-25 08:40:45
4
amanirevoo
ImaniRevo :
How about mke akimuhuzunisha mwanaume ??????? 🔥🔥
2026-07-24 20:19:59
4
adya_mtunchya
MTURUKI from singapal :
kweli baba mfano mimi nafanya mahitaji yote kazi zote lakini mwenzangu anampa mfanya kazi pesa ya matumizi
2026-07-24 23:41:00
11
betina.simkoko3
betina simkoko❤️🦋😘 :
Wanaume saiz hawaelewi
2026-07-24 14:01:43
6
mamy.faith0
Mamyfaith :
Hakika,,wanaume mlio oa chukueni hili
2026-07-24 13:13:21
10
cherry92348
cherry :
uongo, MUNGU alimwambia Ibrahimu kuwa , sauti ya kwanza ya Sara uliisikiliza alipokuruhusu ulale na mjakazi wake, then wapaswa kumsikiliza pia kwenye hili la pili. usipotoshe jamii
2026-07-26 18:29:16
1
zippy.zipporahmas
zippy- [email protected] :
with ego most of them have, wacha wapambane mpaka watakapojua kuishi kwa neno... Mungu aturehemu sote.
2026-07-24 18:55:45
4
warid.victory2
Warid victor :
Hivi kumbe bado kunawanaume kama wee. Du ajabu mnapatikana wapi
2026-07-24 22:01:22
4
natural_stone_deco
Natural_stone_decoration_tz :
maendeleo ni nini kwani?
2026-07-24 19:30:57
3
mariakajwanga
mariakajwanga :
mwenyezi mungu nakuomba msamehe mume wangu sipendi ateseke.
2026-07-25 00:33:13
1
merrybakary1970
bibi elia🙏 :
Amina
2026-07-27 03:27:50
0
esterlove135
Katoto ka Yesu :
amen
2026-07-24 10:24:33
1
isackkissuu26
Isack Kissuu :
kwani ni wanaume tu ndo tunakosea pastor
2026-07-25 16:14:51
0
finer33
Finer :
kabisaaa man of GOD
2026-07-24 14:22:53
0
fey.kubwa
fey kubwa :
wengne ukugombana nao wanasema namshukuru mungu kwenye zile changamoto nimefanya kazi sana nimefanikiwaa, hii imekaaje mtumishi
2026-07-24 15:33:41
1
happy.kagemuro
Happy Kagemuro :
Amina
2026-07-25 05:58:29
0
adya_mtunchya
MTURUKI from singapal :
ukimuliza ananiambia man3no magumu sana anasema ni bora kumpa changudoa kuliko mimi hakika moyo wangu umehuzunika mnoo
2026-07-24 23:42:22
2
marymkoma
Mary Mkoma :
Mungu baba akulinde baba natamani hili liwafike wote wasiojuwa🌹🥰Amenii
2026-07-25 02:51:47
3
mamonesmor
mamonesmor :
cyo maendeleo tu hata afya piaaa unaweza ukawa na maendeleo lkn Kila cku unaumwa maradhi Kila aina hupon hiyo ni laana hongera kwa kuwakumbusha
2026-08-04 02:52:03
0
impasca
Pasemas :
We kaka mpaka nimelia
2026-07-31 07:13:11
0
lilianmutiso3
lilianmutiso3 :
Asante sana kaka.kwanza wangu wakati hana nauli.anatembea umbali mwingi sana akienda church.na huyu mtu hajaniongelesha for the past 3 month.alafu eti anaenda kuomba
2026-07-30 15:40:45
0
lulufungo
Lulu Fungo :
Ameen
2026-08-02 19:26:38
0
irenemuro767
Irene_murro77 :
kweli kabisa kaka
2026-08-02 22:54:17
0
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About