Nilikua na mchawiii Huyo sikuwahiiii kufanikiwaaaaa aiseeee😂na Alikua anasema subiri nitakupelekaaaa mm mwenyewe Halafu anakucheleweshaaaaa alooooo🙌siku niliyoamuaaaa maaamuziii magumuuu nilihamaaa mkoaaa bila kujali ametoaa sijuiii vishikaaa uchumbaaa sijuiii nn niliondokaaaa kama mshenziii nikavukaaa majiii mpakaaa Zanzibar nilifanikiwaaa hadi nimenenepaaaa aiseee
2026-07-24 13:43:33
57
Jaydee🇹🇿 :
Jamani jamani... umenikumbusha mtu nilikuwa nae ina serious relationship, bado nusu anione mbwa yule😂😂😂... I had no money niko tu home, rafiki zangu walikuwa wanaenda Nairobi kununua mzigo wa biashara, wakaniambia twende... tunakulipia nauli ya kwenda na kurudi, ila hela ya mzigo tutakukopesha, walikodi air bnb, so pakulala palikuwepo. Jamani yule baba alikataa hadi alinuna, watanionaje marafiki zako, kwamba mimi sina hela. On my birthday na any holidays zinazonihusu, like Women and Mother's day ndo ugomvi balaaa, lazima akukwaze. I'm glad I dodged a bullet. Somo la leo limenigusa.😂
2026-07-24 11:57:46
24
aggy Molped Arusha :
true
2026-07-26 05:22:52
1
Claudia Lusewa :
Niko na ushuhuudaaa🙌🙌🙌
2026-07-24 19:50:05
2
heavenly daugther :
me naee nafanyaa vituu vyanguu anakujaa kuonaa matokeoo huwaa simshilikishii kwanzaaa na nikisemaa kituu sitaki na sitaki kwelii kama hatakii na akwendeee😅😅
2026-07-25 11:57:49
1
Call my name😍 :
Kunywa pepsi baridi nalipia😂
2026-07-25 09:42:09
2
Jasmine Pazuel :
Sijakuzoea bila lipstick 💄 Ila ujumbe umefika
2026-07-24 11:15:19
6
Jescah🦋❤️💫 :
Mm Niko n huyo mchawiii 😂😂😂😂Niko kweny ue ananijia juu nimemuach kidg 😂😂😂
2026-07-24 12:57:34
17
Ms_Jennie :
🤣🤣🤣🤣Ila wewe
2026-07-25 06:02:28
2
Volkswagen Man :
Hadi Taikondo mwanetu? 😂 😂
2026-07-25 16:31:17
3
msomi_furniture :
mm naongea ww unalala? 🤣
2026-07-26 09:23:12
0
doreendoddo :
Sasa bhana… kuna huyo mtu wa karibu yangu, kuna siku alikuwa aende interview; asubuhi tu kufika mwanga wake akaumwa hoi. Safari ikawa ya hospital. Siku nyingine kaandaa attachments aje afanye application, mchawi wake akafuta folder kwa PC!!! Matukio ni mengi, yaani ni huzuni🙌
2026-07-24 11:16:42
5
lourano :
😅😅 mchawii wangu 😅🙌
2026-07-24 12:56:36
1
marshmallow :
😂😂😂😂😂
2026-07-24 11:12:40
1
jasmin :
Mchawi wangu tuliachana kisa nimemwambia nipo kwenye field taasisi flani 😂
2026-07-25 06:59:15
2
Rynee 😇 :
Ila kwel 😂
2026-07-24 19:21:57
1
user5074202746618 :
😂😂😂mimi kwakweli nanauli huwa ananipa kabisa
2026-07-24 15:59:54
1
To see more videos from user @mekicareercoach, please go to the Tikwm
homepage.