@vkbmedia: PAMBANENI MPATE KATIBA MPYA - Dkt Nchimbi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema endapo angepata nafasi ya kutoa neno moja la mwisho kwa Watanzania, angewasihi kupambana ili kupata Katiba Mpya itakayodumu kwa vizazi vijavyo. Akizungumza leo Julai 24, 2026 jijini Dar es Salaam katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Dkt. Nchimbi amesema mjadala wa Katiba Mpya umechukua zaidi ya miaka 40, huku juhudi za kuifikia zikianza tangu mwaka 1992. Ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Nne ilianza mchakato wa Katiba Mpya, lakini changamoto kubwa ilikuwa wingi wa maoni na hoja za wananchi zilizohitaji kufanyiwa kazi kwa pamoja. "Kama nina kitu cha kuwaambia Watanzania, ningewaambia pambaneni mpate Katiba Mpya itakayodumu miaka 50, yenye mwafaka katika Taifa, itakayotusogeza mbele kwa miaka 50." — Dkt. Emmanuel Nchimbi. #VKBMediaUpdates
Van Kahise
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:27:32 GMT
Music
Download
Comments
Bino :
tunapambana na nani sasa wakati nyie ndo wenye Dola wabunge vilaza 😏
2026-07-24 12:30:56
5
Hijaissa :
ww baba mpenda haki
2026-07-24 16:32:41
0
banzi :
tupeni mitutu
2026-07-25 08:02:05
1
wanchagemoseti :
unapendeza wewe nchimbi lakini pia wewe umo ccm...mwachilie Kamanda wetu lisu
2026-07-24 12:08:56
2
filemon gusanka :
jamani huyo mzee mchimbi mungu ambaliki sana kweli kabisa
2026-07-24 12:09:30
2
Sagranjr :
point
2026-07-24 16:11:32
0
Elipidi Tarimo :
Nashangaaa tunapambana na nani wakati nyie ndio tumewatu kuyakamilisha mambo ya watanzania tuambie ni nini kimewakwamisha maana hamjatuambia kuwa kinachokwamisha katiba mpya ni huyu kile au watanzania hawataki
2026-07-25 09:02:54
0
khamisi :
ukosawamzee
2026-07-24 10:41:13
2
Mohamedkindema :
good 🥰🥰🥰
2026-07-24 17:10:07
0
gordiusmasillago :
Alikuwa m/kiti uvccm kwa hiyo anafamu majungu management properly
2026-07-24 12:16:05
1
@petermwakajila :
MH: hayo maneno unaweza kuyarudia kusema tena , au tu Roho wa bwana alikushukia. . maana umasikini wa watanzanua wengi umechangiwa sana na hayo uliyisema. Mwenyezi Mungu akupe kusimamia unayoamini!!!
2026-07-25 06:03:34
0
user9621914281122 :
hakunachochote kwanini asimushauli raisi kwama
2026-07-24 17:46:10
0
Mandwanga land agency :
kweni Tunaserikali ngap nimetoka jela jana
2026-07-24 16:04:25
0
Laz b wa madon kasika :
hii speech ni ya lini!
2026-07-24 13:12:27
0
aminaissah908 :
Kaka sijaelewa yani Sisi tupambane tena kuhusu k
2026-07-24 19:53:07
0
ROGER MSIMBE :
michezo michezooo iyooooo
2026-07-24 16:12:25
0
RAJABU MSINDO :
nisije nikawa naota jamani huyu yuko ccm kweri
2026-07-24 17:38:55
0
sidekamaside35 :
Ai au 😳😳😳😳kwahyo kumbe samia ndo anakwamisha au
2026-07-24 19:31:28
0
MBR TWO :
hii ni AI AU NI ..
2026-07-24 15:51:37
0
Erasto Zawadi :
Sauti tulivu,yenye kutoa maneno ya busara na yenye kujiunganisha Taifa
Mimi nmekuelewa Mzee wangu
2026-07-24 15:48:38
0
tichakinyei :
@tichakinyei:SAWA MAKAMO ANZA WEWE KUTUPAMBANIA SISI TUTAFATA
2026-07-25 14:56:39
0
MBR TWO :
wananchi wameshatoa ya moyon kutaka mabadiliko ya katiba ... bali baada ya kuletwa bungeni muliikataa wabunge / watawala
2026-07-24 15:52:48
0
Prosper John :
Ahsante Mungu wetu
2026-07-24 15:53:33
0
HD BRAND :
neno pambaneni 🤣🤣🤣
2026-07-24 16:02:23
0
Nyabota jr tz :
hii ya lin jamn mbona nchimbi kama ndie rais wetu jaman au mnasemaje
2026-07-24 13:13:13
0
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm
homepage.