@osmanconte_0: kipenzi cha waumini #sheikhwalidalhad #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #frypgシ #creatorsearchinsights

S4L🌱 Nigeria
S4L🌱 Nigeria
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:53:42 GMT
28646
2880
327
81

Music

Download

Comments

asmah652
ukht,A :
ubuy moja🤲🤲🫂
2026-07-29 13:23:27
0
user7578187699187
shuu :
baba unarudi lini kwan bamdogo anatufokea uku aaah😢
2026-07-24 17:52:13
46
hamisamkubi760
Hamisa mkubi :
Bella aliko anajuta alijua kuwa atamkomowa shekhe wetu kipenzi cha dunia nzima
2026-07-24 18:28:10
18
kipingu2804
Hanny2804 :
Kipenz cha Duniaa nzimaa Sheikh walid😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-24 14:26:22
63
abilius06
abilius06 :
mimi mkristo mbatizwa lakn huyu baba yangu walid Mungu akupandishe viwango vya juu amina
2026-07-24 18:47:08
24
fetty.mohamed7
Fetty Mohamed :
nikijaaliwa kupata mimba nikajifungua mtoto wa kiume atamwita jina la huyu shehe
2026-07-25 16:57:49
7
user432911827807
Hyler :
tulioangalia zaid ya mara moja 2juane apa🥰
2026-07-24 15:54:26
19
hajrah9402
Naima eyes :
Tatizo sheikh umezid uzur na ww Maahallah 💯🥰
2026-07-24 21:15:37
8
fatma89830
Fatma-89 :
Walidi NI msanii tu kama mzee yusuf na kina mboso
2026-07-25 15:19:35
1
sammyhusnath
Sammyhusnath :
embu muwe mnatangaza na sis tuhudhurie ...tusione kwenye mtandao tuuu....🥰
2026-07-24 19:18:26
15
chibidu_
chibidu :
UMEPANDA DARAJA ZAIDI YA LILE KWA UWEZA WA MUNGU MASHAALAH
2026-07-24 16:12:59
19
juma.msati
Juma Msati :
mludisheni uyu jamani mtu wa watu sana💯💯💯
2026-07-24 14:12:36
5
a.k.a1023
A.k.A :
sijui ni kwanini nikimuona2 ninajisikia raha 🥰
2026-07-24 16:35:19
10
user3759613752313
user :
Hii ndio sanaa yake sio usheikh wa mkoa
2026-07-25 08:31:18
0
user3782533765198
mama juja :
mungu akupe umri mrefu na wajukuu zetu waje kukushuudia shekhe wetu inshallah🤲🤲🤲
2026-07-25 09:17:19
1
latifagodwin
latifa saimoni :
kilicho funguliwa mbinguni na duniani kitafunguliwa🙏
2026-07-25 05:51:55
3
deycallmezaryna
🦋🇰🇪 :
mm hilo pengo lake hoi natesek linampa good smile kwa kwel🥰
2026-07-25 19:03:50
2
brillyjr
Brilly Jr :
Nikipata mchumba mwislam ntabadili dini nakuslim kwaajili yakumfariji shehee ward kwa swala na dua ya kiislaam😊
2026-07-25 19:16:28
1
fett_kimdoli
fetty_kimdoli💞 :
oya baba unapenda walidi
2026-07-24 18:20:26
4
pili.ngakonda
Pili Ngakonda :
sheh wangu nakupenda sana sana sipendi nikikuona unaimba naona km taarabu tu tunakupoteza uko cha mara moja
2026-07-29 11:16:42
0
mamy.riii7
mamy riii :
baba nakupenda naomba hiyo miwani unipe Mimi 🤣🤣🤣nimtambie huyu baba mdogo anaetufokea😂😂😂
2026-07-25 14:18:20
1
kibao0
panden juu mkazibe😁😁 :
hata mm wallah
2026-07-25 09:00:02
1
athuman.athuman2d
Suma :
😭😭😭😭😭😭😭 dah kiukwel shekh Allah ametuleta shekhe yan nimelia xn leo
2026-07-26 16:44:57
1
To see more videos from user @osmanconte_0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About