@bbcnewsswahili: Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua mkondo mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha shtaka lake na kumfungulia kesi ya ugaidi, kwa mujibu wa gazeti la The Citizen. - Bw. Kaijage amekuwa akishikiliwa na polisi tangu Julai 8, 2026, baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchochea maandamano ya umma, kosa ambalo awali halikuruhusu dhamana. - @bosha_nyanje anaelezea - - #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugaidi #udom #fypシ゚viral

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:57:01 GMT
120607
5002
216
414

Music

Download

Comments

britaingold
Britain gold :
CCM tunawachekea sana
2026-07-24 13:00:03
141
johanna83602
annie :
kama serikali waifute cozi ya political science ili watu tusijefanya ugaidi
2026-07-24 13:41:04
91
deepsea_water
the darkness of deep sea water :
Tanzania ni nchi au gereza
2026-07-24 11:58:14
74
mr.sportztz
mr.Evans :
kwan anafundisha kozi gani?
2026-07-24 12:07:32
36
lyncherry6
mama amilen❤️ :
huyo ni mwalimu wa political science sa itakuaje 🥺
2026-07-24 20:08:32
25
winfridakibona
winnie love :
Daaaaah hiii nchi bhana let me be silent coz mambo ni fireee
2026-07-25 00:22:23
0
winnifrida55
Winni Frida :
tuonyesha video yake inayoonesha kuhamasisha maandamano au inayoonesha huo ugaidi kufanya lini
2026-07-24 12:17:29
27
gift_mgana
Gift Mgana :
Aliniassess field huyu😭😭😭🙌🏾
2026-07-24 20:33:40
4
prosper.john4
Prosper John :
Wananchi jaman tuamke tujue
2026-07-24 15:52:34
15
rebbytrishjr255
rebbytrish jr :
So painful
2026-07-24 21:16:26
0
user4733700846379
kenedy G Y :
mwish wake Sas sis wananch tutachok maan haw viongoz wantuendsha wanavytak wao
2026-07-24 20:20:31
0
iskayela
KAELA :
waangalie isiwe short term causes kam ya franz fanon
2026-07-24 15:41:39
0
shabtaliban
YOUNG TALIBAN 🫡(طَالِباَنْ) :
justice for him
2026-07-24 13:25:10
0
alsykesone
sykes :
Afungwe tuu kama anataka kuvuruga nchi, alitakiwe awache uhadhiri arudi kwenye siasa kama mwenzake rweitama
2026-07-24 15:36:17
1
patysanga225
Paty Sanga :
sheria kweli zimetungwa kwaajili ya watu wachache
2026-07-24 20:01:51
8
lissa3josee
Lissa❤ :
yani Tanzania imekuwa nchi ya ajabu
2026-07-24 14:27:24
7
deemwanaharakati6
Dee Pablo621 :
Nchiiiiiii yang🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-07-24 12:24:05
7
motorcyclespareparts0
Sweet Mangi :
picha limeanza kubadilishiwa kesi 😀😀
2026-07-24 13:09:02
11
dravs171
SILVER 🩶 :
TANZANIA INATIA AIBU KAH
2026-07-24 12:22:54
7
john.chenga0
john.chenga0 :
Tanzania amkeni nchi inakufa watu wachache sana wanaigaribu na mnawachekea
2026-07-24 16:16:11
6
kenthinker_255
Mr Africahistory :
Mwalimu wetu ni mtu mwenye utashi sanaa wala sio mtu mwenye mtazamo mbaya kuhusu siasa za Tanzania
2026-07-24 16:10:12
7
mwambalule
lgffumbuka :
UDAMASA wangemsaidia zaidi kama wangemkanya aachecharakati za CHADEMA azingatie Academics.
2026-07-25 09:47:34
3
phina3831
phina :
jamani ugaidi tena muwe na uruma
2026-07-25 10:23:17
1
ggicher45
G4242 :
WHICH COUNTRY??
2026-07-24 15:13:54
1
reubenpilla5
Benny 🤫🤫🤫 :
nchi ya hovyo sana ndo mnataka maridhiano Kwa njia hii daah
2026-07-25 07:13:13
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About