@bbcnewsswahili: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa Watanzania, angewasihi kuendelea kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano mapana na uwezo wa kuiongoza nchi kwa miongo kadhaa ijayo. - - #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #katibampya

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 10:59:46 GMT
125097
10803
383
448

Music

Download

Comments

mkaliwaexcel
kichwachataifa :
IS THIS REAL OR MADRID???
2026-07-24 14:10:39
4
podge_247
Podge :
Aache kutu gaslight
2026-07-24 12:10:03
8
1sacho5
1sacho5 :
kama umeshtukia huu mchezo gonga like hapa,🤣🤣
2026-07-24 11:52:59
152
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
siku ukiwa Rais uongee ivyo iyo
2026-07-24 12:18:14
105
tarimetowntotoshop
Mkurya@Miss billionaires :
Hapa tunachezewa Akili, Yule anamaliza muda wake huyu kaanza campaign, All in all hakuna anayetuwazia mema ila ni kucheza na akili zetu
2026-07-24 12:07:44
217
munnyadrian2
munnyadrian2 :
Hii katiba sidhani kama italenga kuleta unafuu kwa wananchi chini ya CCM. ""You will never find Justice in a world where criminals make the laws"".
2026-07-24 12:06:09
4
godymweusi1
He is godÿ :
sasa apo wa kupambana ni raia au wao viongozi?
2026-07-24 12:18:36
32
stephanshayo27
ѕ т є f r a s н a🇹🇿 :
Tanzania without peaceful life nothing like right 🤌
2026-07-24 11:07:10
4
user8572217175676
love makes the difference :
utahisi hakuna fungu lake kwenye upigaji
2026-07-24 13:36:09
30
jitaphone
JITAPHONE ACCESSORIES :
Hiyo ndio siasa inang'ata na kupuriza 😂😂😂
2026-07-24 13:01:00
18
aronymsackyaronygmail.co
Arony Msacky 🇹🇿🛫🇦🇪 :
Nani anaujua huu mchezo 😂 trigonometry ration 😂😂
2026-07-24 11:33:02
60
royalweddingtz
royalwedding_highlights2023 :
work done equal to zero😂😂😂😂
2026-07-24 12:40:50
5
djgalaxytz
DG :
CCM WANAAKILI SANAA , NIWACHACHE AMBAO WATANIELEWA
2026-07-24 13:12:31
42
greatmmmh0
GREAT :
miaka minne sio mingi
2026-07-24 17:49:58
5
stephenamos679
GOODSENSE :
hakuna cha ukweli hapa. ccm haijawahi kuwapenda watanzania
2026-07-24 12:16:18
30
daviex211
Diarzy211@ :
tukipambana tunawekwa ndani🇹🇿
2026-07-24 12:42:44
11
check_bizo
Check_bizo :
Hii mbona kama Ai
2026-07-24 12:47:08
11
mjsmg4
RibelWithCause🪐 :
zingatieni kwamba Pambaneni...Na siyo Kuomba tena
2026-07-24 11:26:57
19
hamisamobeto4
Hamisamobeto :
ngoja uwe wewe raisi tu kuone
2026-07-24 11:20:37
17
pric.tash
ze son :
pambaneni sio tupambane
2026-07-24 11:46:42
7
bajaji_point
bajaji_point :
Nachanganyikiwa kwa kweli nisiwe muongo😇😇
2026-07-24 13:27:06
7
bayounmatundu
bayoun matundu :
ukiwa raisi utatoa hiyo katiba usituchanganye
2026-07-24 12:47:15
8
icon.computer.technology
Icon Computer Technology :
Tume huru ilitoka wapi na haipo kwenye katiba???
2026-07-24 12:02:44
8
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About