@muu.saleh: What do you think about this? #fyp #viral #truestory

Muuh saleh
Muuh saleh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 11:01:11 GMT
147985
13302
209
418

Music

Download

Comments

jojomandaly
jojomandaly :
Simuamini ata mume wangu wallah 😏
2026-07-24 19:04:54
152
like.wise22245
LIKE _WISE🦋🤗 :
Allah nilindie watt wangu naogop
2026-07-24 20:26:14
129
rose_kirii
Rose🌹 :
natafta mdada wa kazi
2026-07-24 11:50:17
6
naira.bm
𝓝𝓪𝓪𝓱 🦋❤𝓑𝓜❤ :
Ikifika 1k mnambie😂
2026-07-24 11:09:38
29
loveness.chule
loveness💕 :
muuh saleh me nakupenda sana
2026-07-24 11:23:03
18
_.tyam_37
samiyq :
what about nolan 😁😭😭😭😭😭😭😭 no update m napenda ukiwa unahadisia weye 😭😭😭😭
2026-07-24 11:16:37
10
razia.bitangaro
Razia Bitangaro :
nimekuwa wakwanza leo 🥰🥰🥰
2026-07-24 11:04:30
35
ishiq017
ishiq🤍 :
Yaani mume sio mzazi???
2026-07-24 11:28:41
15
la.catrinah
La Catrinah :
muuh leo Friday ingia bas live🥰
2026-07-24 12:58:53
10
misslee341
韩文贤女士😂 :
Kuna Dada jiran Angu apa an ad namuiba mwanae namuweka ndani kwangu mana a namuacha mwanae anazurula jaman an katoto kake ka kike kazuri Ila mama ake a namuacha mara apakatwe na mafundi gereji an nawakalipiaga wakimshika yule mtoto mana dunia imeoza😩😩😩
2026-08-08 18:46:52
3
fety2090
Fety💕 :
Duuh allah nilindie watoto wangu🙏
2026-07-24 19:17:54
12
da_goldn_cube
winie :
Mungu aniyunzie mama yangu jaman ningekua wapi mimi mtafutaji na ulezi huu
2026-07-24 12:10:42
6
zamsa782
Zamsa :
nimeend kufatilia mlez kwaajil yakunilelea mtot wang mpk nitok kazn tu niwe namlip kwa mwez 😂tumekubalian mpk mshahar ilipofik sik yakuanz kumpelk mtot nimempelk kwa mama yang mzaz 😂huu n mwex wa 3 nikionan nae yul mtu najiskia vbay wallah ila mbon km siamn kumuachia mtu wa mbal mtot wang 😂😂
2026-07-24 15:29:11
7
userraphaelflookystmr
Flookys :
watoto wanabahati sana aisee 😂😂
2026-08-07 11:50:31
1
machalevina
levina Macha :
Yaan dua nying zinahitajika kwa watoto wetu maana matatizo ynakufata popote Asante kwa story.... love you 🥰♥️
2026-07-25 08:10:16
7
asmaamaulid200
Asmaa Maulid 98% :
sio wanafamilia tu hata walimu jaman tujitahidi kuongea na watoto wetu wakirudi shule watuelezee nini wamefanya shule siku nzima
2026-07-24 15:57:18
5
mauanzige12
mauanzige :
jmn tufanyeje wazazi kl mahali pabaya
2026-07-24 11:09:40
6
janejustine86
JANE JUSTINE :
huyu dada si nan alieigiza na volcano na asia au mm nimekosea
2026-07-25 18:33:27
0
mrs...gn
Mimi M :
simwamini mtu yoyote hata huko shuleni sipaamini
2026-08-05 09:16:14
2
gorgeous_vickie7
Gorgeous.Vickie💝🧸💫 :
Why Victoria jina langu🥺
2026-07-24 11:24:35
3
lefteyes7
lefteyes7 :
Sija wai kumuamini yoyote kwenyee ii dunia
2026-07-24 18:59:42
3
januaryexaud392
January exaudy :
olaa mambo vp watu wangu
2026-07-27 06:44:58
1
ruu23f
MRS.MSHUWA OG :
mtihani wallah Allah atulindie watoto wetu
2026-07-25 09:59:21
1
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About